Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi.
Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda...
Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi...
Kuna jamaa yangu kanichekesha sana, miezi 2 iliyopita alienda Dar es Salaam, kituo cha kwanza kwake ilikuwa kuziona hizo barabara za flyover, ili apate kusafiri kwa kupitia juu.
Sasa anadai...
Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata.
Halafu...
Wataalamu wa mambo Wanasema Jumatatu ni siku ambayo Watu wengi huwa na Msongo wa Mawazo (Stress) Ukilinganisha na siku nyingine za wiki, Wengi waliohojiwa wanasema chanzo ni ugumu wa kubadirisha...
Wadau habari zenu,
Naomba msaada wa haraka sana. Jana nimepiga mitungi mingi mpaka saivi nahisi kuna hangover kichwani naombeni mnisaidie kitu cha kutumia ili niende kazini.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiri ni lugha ipi Ina maneno matamu ya kimahaba ambayo unahisi ukimwambia hata mpenzi wako anafurahi na kuridhika.
Je, ni kihindi za Kuch Kuch Hota Hai? Ama ni...
Mimi naanza na hiki kitabu
I really liked this book, I've listen the audio book, it was read by a woman and a man, the readers were excellent and of course I cried, which is annoying when you...
Natumai hamjambo wanabodi
Wakuu inakuwaje hawa mabinti wadogo wa Arusha & Kilimanjaro wenye umri wa 18-24 wanakula ulabu sana.
Nimekua na marafiki wengi wa kike toka mikoa hiyo lakini...
Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸♀️🤸♀️🤸💃💃💃💃🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha...
Kuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka.
Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na...