JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aise! Kwani kingereza mbona watu wanakipendelea Sana. Yaani imefikia wakati kingereza mnakiona dhahabu Sasa. Kuna watu bana ukimtusi kwa kutumia lugha ya kiingereza hakudiss kosa utumie kiswahili...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Niwape pongezi kubwa wanawake wamejitoa kwenye utegemezi na wanachapa kazi kweli kweli. Kule kuchagua kazi kumeisha na sasa hivi utawakuta maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye udereva, kondakta, hata...
4 Reactions
10 Replies
897 Views
Wana JF habari zenu nyote. Nina furaha kubwa kuwa hapa tena baada ya kumaliza majukumu yaliyoniweka bize sana kiasi kwamba ilibidi kufanya maamuzi magumu ya kuacha kutumia Social Media maana...
1 Reactions
6 Replies
441 Views
Habarini za maisha Wanaume wenzangu poleni na majukumu ya kifamilia na kitaifa kiujumla, Natambua vizuri mchango wenu katika kujenga Taifa nyie ndio mliopeleka Tanzania katika Uchumi wa Kati...
2 Reactions
9 Replies
793 Views
Habari za mida Hii!? Nasemaje kama nafoka nitafoka sana tu ni hivi maisha unatafuta kwa nguvu zote unapigana huku na kule, Sio baadae Niwe Tajiri ndio ufe, Nionekane nimekutoa kafara hiyo haipo...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha. Muhimbili ni...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Je, ni ustarabu kwa mgeni kujifungulia friji na kujihudumia.
0 Reactions
16 Replies
862 Views
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana. Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend . Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu...
18 Reactions
211 Replies
8K Views
Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii. Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi inakuaje mtu unakua na chuki kisa kingereza kinakupa shida, wengine wanataka mpaka kuomba uongozi wakati lugha ya Queen nichangamoto kwao.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa. Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa...
0 Reactions
3 Replies
853 Views
Mtia nia mmoja baada ya kushindwa kupita kataika kura za maoni ya kugombea ubunge,alisikika akilalamika kwa kusema. ''Wale sio wajumbe wale ni WATANZA NIA.Yaani pamoja na kuniahidi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Juzi kati nilikutana na bidada mmoja mwenye bonge la Choo (trakoo), Zero nikajitosa ili nijaribishe bahati yangu kama naweza toboa, Demu ni alikuwa anaringa kinoma, kwanza ile kukutana tu kumpa...
11 Reactions
35 Replies
4K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo: Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi...
8 Reactions
314 Replies
13K Views
Hivi kwanini wasichana huwa wanapenda kuandika vimessage vifupi ilhali ni waongeaji wakubwa wanapokuwa na mashoga zao?
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee. Kwa sasa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Husband: (Returning late from work) “Good evening Dear, I’m now logged in” Wife: Have you brought the grocery? Husband: Bad command or filename? Wife: But I told you in the morning Husband...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
Sipendi kusikia jina langu linatajwa. Hata mtu akiniuliza ninaitwa nani natamani nimdanganye. Maana sijisikii poa kulitamka jina langu. Bora kuliandika na sio kutamka. Nikilitamka najiona sijui...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…