JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu salama? WAJUBA nipeni mbinu hapa mjuba kidogo nimestuck hapa. Hapa napoishi kuna jirani wa kike amehamia aisee ni kisu balaa hatar. Huyu dada dizaini mazoea kwangu yamezidi sana nishaelewa...
2 Reactions
9 Replies
699 Views
Wasalaam wana bodi, kwa muda mrefu nilipotea jamvini kutokana na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku. Kwa muda wote huo nimepotezana na dada yangu kipenzi SHUNIE,popote ulipo kaka yako...
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Wale wa pushapu asibuhi tukutane humu. Maana inasemekana kupiga pushap asubuhi ni jambo la kheri na husaidia kujenga afya ya mwili. Wazo huru
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Nipo na jazba hapa yani basi tu, ningeua mtu haki ya nani. Acha napumzika hapa🤕😥
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Never give up on one another. Love can overcome all forms of hate. Love is strong. Love is real. Hold on to it and never let go. Also. Always. Love God!!!
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo sisalimii mtu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka acha niende spidi ya treni ya Umeme. Nilikua naskia story za konyagi kuwa ni hatari sana ukipiga afu ukaenda kugegeda. Sikuwai experience...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana CC, mko poa? Heshima kwenu... Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya Mamndenyi, source hapa ni Arushaone! Afu kuna ishu ya Mr. Rocky na Dena...
1 Reactions
475 Replies
22K Views
Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Hivi hili neno lina maana gani hapa JF? Kila nikijaribu kulitafsiri nashindwa kujua. Naliona kwenye comments nyingi ila sielewi.
0 Reactions
7 Replies
620 Views
Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu? Katika kuhangaika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Leo nipo hapa Dakawa, Morogoro. Kwa aliye pande hizi tutafutane. Nipo leo tu .kesho inshaallah nitaondoka hapa...
0 Reactions
4 Replies
492 Views
Hi Guys! Karibu katika Chellenge. Tutadeal na numbers only kasoro sifuri (zero). Zero (0) its nothing, kwahiyo hatutaitumia. Nitatoa challenge kama tatu hivi. Na ntasoma mawazo yenu na ntatoa...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF, Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc Nawasilisha.
8 Reactions
26 Replies
3K Views
😅😅😅nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena. Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo😅😅niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo...
14 Reactions
150 Replies
7K Views
Huyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. . I think she might be a musician, an actress or just...
2 Reactions
126 Replies
15K Views
Poleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha...
15 Reactions
159 Replies
14K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ebana eee ubachelor noma Sana, kilichonikuta Leo siwezi kumaliza mwaka na ubachelor. Leo nimeamka asubuhi Mimi ni mikazi tu, mikazi na Mimi, nimeamka mapema...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Maana hata mamlaka za hali ya hewa hazikuiona mvua hile ya ghafla kiasi kile ( jokes)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba. DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au...
20 Reactions
95 Replies
5K Views
Jamaa mmoja kenda ukweni yeye na mke na watoto, njiani wakanunua mazagazaga ya kumpa mama mkwe, wakaenda wewe siku nzima coz ukweni ilikuwa mbali ndo ivo kwa uchovu wakafika walipokelewa vizuri...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…