JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wadau.. Mara kwa mara naliangalia lile tangazo la mtandao wa LIVE IT, LOVE IT, Nakupata mashaka sana na yule mjuba alieacha BUKU TENI akarudi akakuta mapochopocho ya HELA YOTE. Alafu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Njooni tujumuike watu wa Buza, kwa mama kibonge Buza kwa lulenge, Buza kanisani Buza captown, Buza kwa mpalange Buza kwa Dona, Buza machine ya maji nk
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo Kikwazo cha...
10 Reactions
216 Replies
11K Views
Unaweza kuomba namba za simu, after honeymoon ukaanza kudeal na mmoja baada ya mwingine
14 Reactions
161 Replies
17K Views
Wakuu habari za lockdown? Nimekuta sehemu watu wakijadili na kushindwa kufikia muafaka. Swali ni kwamba kwa nini nyumbani unapiga bao 1 kwa mchepuko bao 5? Je, ni kweli? Na inasababishwa na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele. Mbali na uchumi...
5 Reactions
196 Replies
22K Views
Thread maalum kwa yoyote ambaye angependa kushow love kwa jf member mwenzetu. Unachotakiwa kufanya ni kumtag mtu wako aje apa alafu unatupia mistari kama yote wadau wengine tutakupa sapot...
9 Reactions
657 Replies
24K Views
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri, yna2 unajua mapenzi...
9 Reactions
280 Replies
14K Views
Nipo bored nitajieni Garden ya kwenda kutulia siku ikaenda. Movies gani yakucheki siku iishe. Member gani aliboreka kama mimi tu-meet tule story.
1 Reactions
18 Replies
915 Views
Naomba kujua kwa wale mnaojua,vipi mwitikio wa wanafunzi na wanachuo umekuaje leo? Wengi wameripoti au bado.?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza. Kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea Buza. Kunani Buza? Wengine tupo huku...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu Habari za saa hizi! Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea. Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
FINANCIAL SERVICES: Ngareroo pole nimekuja ghafla. NGAREROO:Usijali. FINANCIAL SERVICES: Ni vile wewe hukua umenibamba. NGAREROO:Aah Financial services pia kwangu ni msoo kwanza vile ulituosha...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Usimvurugie mipango Kama umekutana nae mjini ,mwache aende. Isipokuwa unajovika jukumu la kumsaidia kufikia ndoto yake,achana nae tu. Anaweza kuwa mrembo sana anavutia mno lakini kama bado ana...
0 Reactions
3 Replies
739 Views
Ile kazi naimiss sana kwasasa. Ni kazi ambayo nikiambiwa nichague basi itakuwa first choice huku kazi za uhasibu na ugavi nikiziweka pembeni. Nina hamu sana kuongoza magari barabarani. Nyie...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habarini wana JF Nani hapa hajawahi kudokoa mboga jikoni? Aise! mimi nilikua mdokozi matata sana yani mama alikua anapenda kuchemsha nyama pamoja na viazi kabla ya kuunga mboga. Navizia jikoni...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Kweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wana JF wote kwa ujumla. Kama title inavyojieleza. Nimeona Leo nianzishe huu Uzi ili wenye hizi tabia waache kwa sababu naamini muda mwengine huwa inawakera baadhi ya waleta mada. mtu...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…