Habari zeñu
Lengo la uzi huu ni kuja kushare vitu ulivyovipenda husasani ile siku ya kucheza disco!
#Education is liberation----> Njoss
#.->Manyunyu
Mimi napenda upande wa wapolo wale...
Habari wanaJF
Hii nikwa wale wote walio macho mda Huu....
Tena nianze na mimi kabsa. Yani apa nawaza namna usingizi utakavyoanza kunichukua.
Eb nawe sema kidogo[emoji39]
Nawasalimu nyote WanaCC!
Mke wangu Heaven on earth simwoni humu ndani kwa muda wa siku kadhaa sasa, hii ni baada ya kupata safari ya kwenda kijijini kwetu sitimbi kwenda kumsalimia bibi! Nimekuwa...
Huyu atakuwa mwezi mchanga kwa vyovyote, tumetoka tulikotoka amekunywa wine kidogo mimi nimekula vikali, tumeingia chumbani kakaa kwenye sofa ananiangali tu halafu anaangua kicheko huku kafika...
haya haya haya wana CC wote,
waliooa na wasiooa, wenye masuria na maSACCOS, mabachelor wazoefu na waviziaji, kina dada/mama wote mliopo humu
habari ya mujini ni kwamba sasa mimi Kaizer nimemove...
Amani iwe kwenu wana JF, naomba kuuliza tafadhali anaye fahamu juu ya wenzetu hawa.
Ritz na Lizaboni walikuwa ni wafia ccm kipindi cha utawala wa mzee wetu Kikwete na walikuwa wanakesha hapa...
Wadau nadhani wote tunaijua konyagi ilivyo kuwa Kali ukinywa billa kuichanganya na maji lazima itakuangusha kwenye ngazi
Pia ustarabu wa Pombe unaweza kukufanya ukajiona wewe ndio mwamba unaweza...
Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss...
Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲
Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲
Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲...
Wakuu,
Huwezi kuboreka na kukasirika ukitumia JF utakuwa mtu wa tabasamu mda wote maana utapata updates za taarifa mbalimbali muhimu na comments za kukuvunja mbavu.
Uzi ambao mwanachama ameomba...
Za jioni wakuu,swali hili niliulizwa na tukajadiliana na marafiki kadhaa lakini hatukupata jibu hebu tushirikiane kutoa mawazo.
Kipofu akiota ndoto huwa anaona nini akiwa ndotoni
nawasilisha
Wakuu habari za usiku?
Huyu member wa JF alizoeleka sana kuandika thread za kutisha tisha, lakini siku hizi yupo kimya sana sijui ni kwanini.
Je, ni Corona? Nimemiss thread zako za vitisho na...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, leo 17/03/2018 ni siku ya kipekee kwa hawa wanachama wa chama kubwa tz na duniani Jf, ambapo mzee wa matunguri na mkuu wa kilinge cha wachawi pale kibaha Mshana jr...
natumai hamjambo.
wakuu ikiwa mwanao atakuuliza haya maswali utamjibuje??
#mama ulimpendea nini baba mbona anasura mbaya na wala si type yako?
#baba ulimpendea nini mama mbona hana chura wala...
Kuna makundi meengi ya wanawake hasa nakusudia katika mgawanyo wa umri.
Mabaharia na wataalamu naombeni mbinu mbadala za ushawishaji (utongozaji) kulingana na mgawanyiko huu.
1. Umri Kati ya 18...
Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo.
"Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!"
Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu...
Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu.
Punde nasikia moja ya...
Wakuu habari zenu popote mlipo. Poleni na hongereni kwa mapambano yenu dhidi ya kirusi corona.
Katika jamii kuna watu ambao wana ka tabia ka kuuliza mambo binafsi ya watu.
Leo ningependa...