JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wana jamvi, kama kuna mtu yupo maeneo ya Tanga mjini ningependa kuonana naye hata tubadilishane mawili matatu hata kujuana zaidi sisi kama wanajamii wa JamiiForums.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Tanzania tumetoka mbali saaana. Leo nimekumbuka enzi zile nikiwa Primary School kuna siku nilirudishwa nyumbani kufuata karo. Kwanza kabla ya kurudishwa unachapwa fimbo za kutosha kama sita hivi
1 Reactions
6 Replies
961 Views
Mzazi anakuchapa si kwa ajili ya kukuonya, anakuchapa kwa kuwa unakula ugali wake, kukupiga ni kutuliza machungu tu hakuna lingine
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Enzi hizo miaka ya late 80's na earl 90's kulikuwa na aina za mavazi ambazo almost kima mtu alivaa:D:D ntazitaja baadhi zingine mtanisaidia malejendari 1. chupi zza kiume ziliitwa VIP, Hii kila...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Chadema ndugu zetu wanapinga kila kitu mpaka wanachekesha et magufuli katumia hela za walipa Kodi vibaya kwa kujenga Fliy over kubwa Na wanadai wakipita pale wanajiskia vibaya na kuhisi kutapika...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Habari wana wana ndugu hivh kuna yeyote mwenye kufaham nafasi za kujiunga na JKT mida yake ya kutoka lini?
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokanana lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watuwakawa wanapita wanafungua...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiwa umelala labda kitandani ila kichwa umeelekeza ambako kuna slope ya kushuka. Yaan kichwa kinakua chini kidogo kulinganisha na miguu, basi unaota ndoto za kutisha tu. Hilo nmeliona si mara 1...
2 Reactions
15 Replies
814 Views
Habari ya weekend Wapanda mlima tujuane hapa, mimi nipo pahala mjini Daslam time hii, napanda mlima mdogo mdogo hapa. Huku nasubiria kitimoto.
1 Reactions
12 Replies
903 Views
Huwa nina kawaida ya kuweka mafuta katika kausafiri kangu once per week. This time nimeenda jana Alhamisi. (Kuna shell fulan ndo huwa naitumia) kwa kawaida nilizoea kuweka mafuta ya shilingi...
1 Reactions
7 Replies
624 Views
Ama kweli misemo ya waswahili wakati mwingine ina ukweli ndani yake.... Eti wanasema USIPOSHIKA FEDHA BASI UTASHIKA HATA ADABU,na tena ati ni LAZIMA ushike kimoja kati ya hivyo! Wale walioshika...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama umeoa uchagani siku umekutana/ umeenda ukweni kwa wakwe unaleta stori tu utadharaulika tu. Uchagani pesa mbele kama tai. Huna pesa wewe ni ZUCHU tu NB: Kama mapenzi waachiwe wahaya
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwenzenu huwa namshikia kidedea kijana wangu awe anajisomea kipindi hiki wako nyumbani. Sasa nimemuona leo kashika kitabu cha Kiingereza. Nilishakitazama hiki kitabu kina swali ambalo najua...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mapenzi ya siku hizi ni kama Bluetooth. Mkiwa karibu mna pair. Mkiwa mbali . Mna search for available device. Habari ndio hiyo. Za kuambiwa......
2 Reactions
15 Replies
914 Views
Inawezekana nini[emoji38]
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Mashati, blauzi,magauni, sketi na nguo nyingine, zinapoisha tunazigeuza kuwa madekio . Chupi zikiisha twazifanyia Nini? Sidiria twazigeuza kuwa barakoa, hata soksi 😷😷😷😷😷. Chupi sasa.....
2 Reactions
16 Replies
747 Views
Habari za mida hii Wakuu natumaini shughuri zetu zinaenda vizuri Leo bwana mida ya asubuhi hivi nilikuwa natazama Clouds 360 ila kuna clip flani ya Mkuu wa Wilaya ilionyeshwa anasema kwamba leo...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Gone are the days.. When boys were real boys. Rules of football when we were kids 1. The fat kid was always the goalkeeper 2.The owner of the ball decides who plays 3. If you didn't participate...
3 Reactions
3 Replies
892 Views
Sitosahau enzi hzo napga busness ya kuiba mfuta kwenye magari. Sku moja nikiwa kazn gari lililipuka puuu..., likawaka moto. Nilishka moto nikawaka HADI KUFA!, Nashkuru nilizikwa kwa wakti kbla...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…