Katika harakati za ujana unakumbana na mambo mengi ikiwemo udomo zege, mahusiano,uhuni,chabo mapenz etc
Back in March 2001 nikiwa kidato cha kwanza shule flan jijini dar es salaam. Nimetoka...
Nimekaa nikafikiria kwamba, kwa sababu ya janga la Corona, sio salama sana kwa wachezaji kucheza pamoja, na haina utamu wa ligi kama hakuna washabiki.
Ningeshauri MECHI ZOTE ZILIZOBAKI, USHINDI...
Nimefungua uzi huu kutokana na mihangaiko ya asubuhi pamoja na mishemishe ya siku nzima. Najua wengi tupo makazini tunapitia changamoto za utafutaji kwa hiyo mwenye ishu au jambo linaloweza...
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile...
Maneno yako ya mwisho yatakuwaje endapo akatokea mtu akakuwekea bastola kichwani kisha akakupa nafasi uongee maneno yako ya mwisho kabla hajakuua??
Naanza na mimi
Je nitatamani niwaombe msamaha...
Nimepanda Hiace toka hapa banana naelekea mjini kuona mandhari abiria 1 akataka kuingia kondakta akamjibu kwa lafudhi ya Arusha "usije maana gari iko NGAA"
Nikadodosa NGAA ni nini nikaambiwa...
Kwa muda huu mfupi niliojaliwa kuwepo hapa JF, kuna members wachache sana nimetokea kusoma nyuzi zao na kuzikubali saana..
Nao ni kama ifuatavyo, na wewe taja wa kwako.
1. Habibu B. Anga
2...
Hi guys,
Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile...
Aisee nilikuwa sijamwona vizuri huyu mtangazaji wa ITV Farhia Middley, Jana kwenye kipima joto nimemtazama huyu mwanamke dashhhhh, ana umbo zuri ambalo limenivutia usipime. Ana umbile matata...
Kuna Mzito Fulani aliwahi kusema huu msamiati miezi michache iliyopita sasa kuna wazungu hapa nataka niwafafanulie
Kwa kiingereza tunasemaje?
'Mbwekaji wa taifa'
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye sijui mnaita matembezi ya jioni
Yaani wanavaa viutumbo halafu transparent halafu mavazi ya ndani yanaonekana laivu...kwa mfano leo narudi zangu home kutoka job huku Mbezi Beach karibia na...
Habari ya mchana wadau bila shaka wazima.
Mara nyingi hapa tumekuwa tukizungumzia mapenzi,utajiri nk. sasa hebu tutupie visa vya aibu ambavyo uliwahi kukutana navyo ukikumbuka unaishia kucheka au...
Wanajamvi, poleni sana na hali ya uhaba wa sukari maana hata ukiumwa hiyo corona mgonjwa wake uji, sasa uji bila sukari mgonjwa anaweza kufa kwa kweli.
Maisha yanakwenda kasi hatari kuliko kasi...
Kwa wahenga waliozaliwa zama za mawe mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 Mke wa kaka yako, rafiki yako ndugu walikua wakiitwa shemeji, Pia Mume wa Dada yako,rafiki au ndugu walikua wakiitwa shemeji...
Unaweza kuta ameacha mboga jikoni akaenda kuoga, kusalimia majirani, au kuchezea simu na akirudi mboga haijaungua.
Au muda mwengine unamkuta kajifunga kanga tu lakini hata afanyaje hauwezi...