JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wakuu... Nipo hapa ninasikiliza Lusekelo chanel 10.. Nimeshindwa kumuelewa hata anachozungumza. Hakuna kifungu hata kimoja cha bible anatumia. Anaongea kwa jazba hadi kutukana...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
mabaharia kuweni wakweli na mfunguke Hadi leo hii tangu maisha yako ya kabla shule ya msingi, shule ya msingi, sekondari na chuo umekwisha kutana na papuchi ngapi? A. 1 HADI 5 B. 5 HADI 10 C. 10...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika makuzi yetu tunapitia changamoto nyingi sana, tunapitia moments/vituko ambavyo ni ngumu sana kuzisahau hicho ni kituko changu nilichowahi kukifanya miaka fulani nikiwa katika foolish age...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
Nawasalimu, Mwenzenu nilileta uzi humu zamani kidogo juu ya afya yangu mbovu ya presha na moyo,Niwaombe tafadhwal,kama uzi wako unaanza na neno TANZANIA tafuta neno jingine mnatushtua sana...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Fanya hvi chukua mwaka wko uliozaliwa halafu jumlisha na umri ulionao sasa utapata 2020. haijalishi umezaliwa mwaka gan na una umri gan watu wte jumla yke ni 2020. mfano 2000+20 = 2020 au...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Poleni na vita ya corona. Naomba kwa anaejua kwaya walioimba kiitikio cha ngoja ya roma inayoitwa kaka tuchati ile kwaya ni kwaya gani na wimbo unaitwaje. Ahsante
1 Reactions
13 Replies
3K Views
2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19. Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking) Binafsi...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
1.Puyanga 2.Kwioo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nikimaliza chuo staki kuajiriwa ntafanya mishe zangu.. MISHE ZANGU:[emoji116][emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Ebu fikiria girlfriend wako anakuja kwa keja yako akiwa amevaa chupi mpya, wewe kwa haraka zako unamvua pamoja na sketi yake bila hata kuiona Utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa; Hakuna kitu...
7 Reactions
18 Replies
4K Views
Wandugu, jamaa na rafiki zangu wanyonge.. Nimekuja kwenu rasmi kwa ushauri na msaada.. Nimekwama na niko njiapanda. Msaada wako kimawazo na ushauri ni muhimu sana kipindi hiki kigumu nilichonacho...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu,huwa najiuliza kila siku, hii mishkaki [ya ng'ombe] inayouzwa sh.100 maeneo mbalimbali ya dsm, wauzaji wanapata faida gani? Maana ni vipande 5 vya nyama, tena vitam tu, sasa kama kilo ya...
1 Reactions
79 Replies
17K Views
Wanazengo kama na nyinyi mmegundua hilo hebu tupeane taarifa ni kwanini?
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Tutaendelea kuwadanganya tu, kutokana na kupenda mteremko
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi serikali haiwezi kutugawia kila mtanzania Milioni moja moja , maana mbona ni Tupesa Tudogo ...tuu ili Kupambana na COVID19 mbona kama nasikia Serikali iko na hela na sisi ni Dona...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Kunguni ni Mdudu Mdogo sana na mwenye kujificha sana ila hujitokeza sana pale anapoona utulivu anapenda sana kujichanganya na wengine tatizo hapendwi... leo wacha ni list aina za watu wenye damu...
2 Reactions
10 Replies
9K Views
Yanachekesha sana. *Wanawake wa JF wote ni wazuri *Members wa JF wote elimu yao ni kuanzia degree. *Kila alie Facebook yupo Dar. *Asilimia kubwa ya wanaotumia insta wanajidai wana maduka ya Nguo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama maisha yako yangekuwa kitabu je jina la kitabu ungeitaje? Me ningeita I AM UNIVERSITY wewe je? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimekua nikijiuliza sana ni kwanini haiwezekani kuvunja yai kwa kulibana vertically katikati ya viganja? Pana sayansi gani hapa? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kipindi hiki cha Corona kinazidi kunipa mawazo ya kukata tamaa ya kusoma na kuona tutazidi kuchelewa kumaliza nimekuwa ni mtu wa kulala tu na kuamka na kuwa na mawazo yasiyoisha 24 hrs kuhusu...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…