Masika imeanza, mvua inanyesha tangu jana mfululizo usiku kucha hadi dakika hii bado inanyesha.
Shemeji yenu kaenda kwao kwa ajili ya Pasaka maisha yamekuwa magumu sana.
Tupeane mbinu mbadala...
Ukweli ni kwamba, ndoto ya masikini siku zote hazinaga mpangilio mzuri, unaweza lala ukaota unamiliki banda la kuku, lakini baada ya muda mchache banda hilohilo la kuku linakukimbiza.
Huja kaa...
Naomba mtu anae isi amekua wa kwanza kuanzia JF imevumbuliwa?
Je, Maxence Melo huwa anaingiaga JF?
Je, kuna mtu kashawahi kula comment yake?
Am curious.
1. Unaona dumu la maji, unaenda kulinyanyua kwa nguvu ukidhani lina maji kumbe lipo tupu. Unakuwa umetumia nguvu zako bure kabisa, inakera
2. Unaona mtu anakusalimia au kukupungia mkono huku...
Kiukweli nawapa pole
Nasoma michango yenu huku natafuna karanga mbichi huku nashushia na juisi ya azam mango (zile za elfu tatu) Nimepokea mashambulizi yenu kwa mikono miwili.
Corona inaua...
1. Watu wanene huwa hawapendi stress wala kubuguzana na mtu.
2. Watu wafupi mara nyingi ni watu wenye hasira, wabishi na huwa hawakubali kushindwa kirahisi
3. Watu warefu ni watu wenye kujiamini...
Ni dhahiri shairi gonjwa la Corona halijapatiwa tiba wala chanjo, kwa mantiki kama hii inavyoonesha Corona si ya kuisha leo wala leo.
Ruhusu programu za kielimu ziendelee, kwani inaonekana hili...
Nawapenda sana Watoto.
Watoto wanamwamini sana mtu aliyewazidi umri,
Nikiwatembeleaga wajomba zangu
nakerekwa na tabia yao yakuombana ela mbele za watu flani flani ambao ni aibu kusema sina...
Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako ?
Mimi Binafsi kitu sipendi ni Kuvunjiwa Heshima tu,
Ni bora unichakatie mpenzi wangu Kuliko kunivunjia heshima.
CC Zero IQ
kwa uchunguzi wangu mimi binafsi nimekaa nikajua kuwa jamii forum ni sehemu ya kuongea vitu ambavyo hatuwezi kuviongea mbele za watu kwenye maisha ya kawaida.
njoo na wewe utoe mtazamo wako jamii...
Haka katoto nipo nakagegeda goli la tatu mzee nakusukumia ile ile yani hakutoi hata mguno. Kudadeki nimemwambia basi anisonye tu wakati wa kumgegeda nijue moja.
Maisha yanaenda kwa kasi sanaa...
wakuu, tokea numeingia humu ndani nimekutana na maneno mengi ambayo huko duniani hayapo, naamini kilq memba mpya atakuwa anapitiaa changamoto mpyaa piaaa....
maneno hayo ni
P. P. P
WANAKUJA...
Kipindi fulani nilikuwa ni mwajiriwa wa kampuni moja kama mlinzi wa mali wa zile kampuni hakika nilifanya kadi nzuri na mwisho nikawa mfanyakazi bora wa kampuni kwa namna ambavyo wengi...