Naomba udondoshe msemo/misemo yoyote inayoendana na kipindi hiki cha corona.
Mimi naanza
1.mficha uchi hazai.
2.akufae kwa dhiki ndie rafiki.
3.kunguru muoga uishi miaka mingi
4.mbio za sakafuni...
Siku yoyote ile huwezi ukakimbia kifo. Popote ulipo kinakufata, hata uwe kwenye mahandaki madhubuti kiasi gani,kifo kinakufata tu.
Rais wetu kakimbia ikulu kuu, ni kwa sababu ya gonjwa la...
Wadau,
Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good...
Habari.
Tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kumpata mwizi aliyetapeli hela. Yupo hapa Dar na namba yake ya simu na IMEI ya simu yake ninayo. Inaonekana anapatikana maeneo ya Mwananyamala.
Kwa...
Wakongwe humu mtamkumbuka huyu mwanadada wa kuitwa Lara 1, "kubwa la maadui".
Posts zake ulikuwa huchoki kuzisoma, full of wit, mtoto wa mjini haswa! Sijamuona kitambo humu. Nimemiss uwepo wake.
Wakuu;
Huu ni uzi maalum kabisa wa kupost picha na (au) video za kujifukiza. Lengo ni kupeana uzoefu na mbinu bora kabisa za kujifukiza hasa wakati huu ambapo suala hili limeshika kasi kwenye...
Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai na salama mpaka siku hii ya leo (28th April).
Nimeamka asubuhi mida ya saa 12,nikakuta msg tatu zote toka kwa mpenzi wangu akinitakia heri katika hii...
Wakuu habari na poleni na hili janga la COVID-19.
Jana mimi kama Mchimba Chumvi niliweka tangazo humu la kuuza sim yangu na nilifanikiwa kwa asilimia 1000.
Sasa bwana jioni nilifanikiwa kupokea...
Umuofia kwenu ndugu zangu
Kwanza ieleweke kuwa sipo hapa kujigamba wala kujipigia mstari, ni swali la kawaida tu nimelenga kuwashirikisha na kujifunza kwenu.
Ni kijana japo umri umesonga lakini...
Habari za Mapambano wadau wote wa JF, Nimatumaini yangu kuwa wote tunaendealea kupambana Dhidi ya ugonjwa huu wa mlipuko CORONA.
Ama baada ya Salamu lengo la Uzi huu Ni kujua wale wote...
Msaada sehemu nzuri ya kuwezaa kutoka out kupumzika mazingira yawe kma garden au hotel ya bei ya kawaidaa msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wetu tumewahi kua na wapenzi wengi, lakini wengiwetu wanaume tumewahi kujikita katika mahusiano ya kimapenzi na mwanadada AYU na GIV.
Wale wenye pesa walidiriki kutembea na mtoto wa kishua...