Nadhani kwa wana CHIT-CHAT mliopo hapa dar hii itakua poa sana.
Napanga siku niandae chakula cha usiku, vinywaji pamoja na muziki wana chitchat wote mje tujumuike kama marafiki .
Mnaonaje wazo...
Hii kukaa ndani kujiepusha na mikusanyiko imenifanya nimegundua kuwa Herufi b,p,d na q,ni herufi 1 ila mapozi ndio tofauti```[emoji3][emoji3][emoji28]
*Tutulieni Nyumbani Tutagundua Mengi zaidi...
Nina kasimu kadogo aina ya OKING (OK 1710) nilikokanunua kwa shilingi za kitanzania elfu kumi na nane tu (18,000/=). Kwa kweli kwa bei hii sikutarajia kupata simu yenye teknolojia ya hali ya juu...
Kuishi Kwa Shemeji Ukisubiri Mchongo Ni Ushujaa Lakini Kuishi Kwa Shemeji Na Unalala Sebuleni Huu Ni Zaidi Ya Ushujaa Na Uvumilivu
Imagine Mpaka Dada,Na Shemeji Yako Wamalize Kuangalia Tamthilia...
Haya kwa wale wapenzi wa tamthilia hasa ISIDINGO, hebu naomba mnisaidieni haya;
=>maana ya ISIDINGO
=>na imefikia wapi hii tamthilia na itaisha lini,kwani kila kukicha ipo hadi waigizaji...
Habari zenu.
Inafahamika kwamba hakuna jambo gumu kama mtu mzima kutokwa na machozi.
Kuna siku nilala halafu nikiwa usingizini nikaota ndoto ambayo ilinifanya nilie sana, kiasi kwamba mpaka...
Kwani naandikaga vitu vya ajabu sana au vya kushangaza?! Maana kila nikianzisha thread mpya lazima wadau wake kwa waume waje PM, wengine wanasema "Natamani siku nikuone nione kama vitu...
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive
*Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo
*Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya...
MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI......JE? ULIJUA HILI? KARIBU......
[emoji23][emoji23][emoji23]1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja...
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Da'Vinci kama guest,uliza swali...
"Kitu chochote kinachotokea katika maisha yetu ni lazima kianzie kwenye mfumo wa mawazo na baadaye ndo kinajidhihirisha kwenye mfumo wa hisia.
Ubongo kupitia kwenye milango mitano ya fahamu...
Leo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano.
Hii siyo kawaida...
Habarini za jioni wana jf wenzangu poleni na mihangaiko ya jumamosi naimani wote bado tunaendelea kuchukua tahadhari ipasavyo dhidi ya janga la covid-19.
Ngoja niende direct to the point kipindi...