Vituko vya january ila si makambako
Hiki ni kipindi ambacho ongezeko la watu wanaongea peke yao huku mjini huongezeka kwa kiasi kikubwa.
Wale wadada wa nyumbani ni kipindi chao kuacha kazi...
Jumapili njema wakuu, fanya wema, tena mfanyie usiyemjua.
Vocha ya buku hii hapa kwa mwenye bahati. Mtandao wa VODACOM
4906 4170 3733 469
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka nilikuwa natoroka shule pale Nyanza primary miaka ya 90 navua shati halafu nazama kutazama TARZANI wewe je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana muda huu uko mahala unatamani kuongeza salio lakini mchana ulisha-wipe Tigopesa/M-Pesa yote na duka la Mangi ameshafunga.
I got you my nigga... hii hapa vocha ya buku mtandao wa Tigo...
Jamani mwezi wa kodi huu mambo sio mambo kabisa baba mwenye nyumba anapiga simu kama mwehuu nawaza kumchana ukweli anivumilie mpaka mwisho wa mwezi tu dadeki sina namna kabisaa...!!
Sent using...
Jana usiku mida ya saa tatu usiku natoka kwenye mizunguko yangu ya siku kwenye daladala pembeni yangu alikua amekaa kijana rika moja tu na mimi. Mkononi kashikilia smart phone yake anachati macho...
Ukiwa na rafiki mwenye mke au tu mahusiano yale ya kushibana ukajidanganya umwambie siri yako ataenda kumwambia mkewe.
Sijui kuna kaugonjwa gani ka wenza wakiishiwa stori wanaanza kupiga...
Kwa wenzangu wale walaji wa viporo na daku mtanielewa!
Ni hivi; Vyakula vinavyoliwa kwa mikono halafu vikabaki hadi asubuhi Kama (Viporo)!
Inaonesha kwamba vyakula Vinavyobakizwa na wanaume...
Sijawahi kufika kwenye hili jiji la Arusha,nasikia ni Geneva ya Afrika
Kwa gharama zozote zile nataka tarehe 2 January 2020 nitue kwenye jiji hali
Naomba wenyeji wajitokeze pia naomba kufahamu...
Time to test your brain if you have Einstein's IQ
Umeenda dukani kununua nyasi za ajabu, ukaambiwa hizo nyasi ukizipanda kila siku zinakua mara mbili,(yani kwa mfano umezipanda heka moja kesho...
Naandika kama ushaur kwa serikali ya Tanzania hasa wizara ya afya hasa upande bima za afya yaani National health insurance fund (NHIF) zimeonekana kusaidia sana hasa kwa watu wanapougua na...
Hey brothers and sisters nilikua na wazo kwa kua tuko mwishoni mwa mwaka na tunaanza 2020 naomba tutoe shukrani kwa Mungu kwa kurudisha tulichokipata hata km kidogo kwa mwaka mzima na huku tukiwa...
wakuu,
kuna baadhi ya hawa watu waliondoka hapa Mjini kwa mbwembwe zote, sasa leo wanataka kurudi Mjini wanaanza kusumbua watumiwe nauli za kurudi.
usumbufu sitaki asee...nadhani mhusika uko...
Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi...
Mimi natuma salamu kwa Rais wangu mpendwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe...
Mzuqa,
2020 ndio iyo. Kauli mbiu yangu ama 2020 slogan ni PESA na MITI. Ni kutandaza miti tu from January all the way to December.
Allah atufanyie wepesi.
Yesu atupe uvumilivu.