Kwakweli sitakuwa mwenye fadhila Kama sitafunga na kufungua mwaka 2020 kwa kumshukuru mkwepu Jr kwa kunipa Mimi binafsi likes na members wote humu.
Nakiri kusema Kama mkwepu Jr hajakupa like basi...
Nashukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine
Mwaka 2019 ulikua mbaya kwangu na nilichofanikiwa kwa mwaka ule ni kupata namba ya NIDA tu.
[emoji512][emoji512][emoji512]
Kabila lenye copyright ya hela kwa Tanzania ni Wachagga.
Wachagga wanajua dili zote zenye kulipa. Macho yao yapo busy kuona mti pesa uliko.
Wachagga wengi ni wachungaji na wanafanya kazi za...
Labda member fulani alikukela,alikufurahisha,unampenda sana,unapenda michango yake, nakadhalika.
Acha ujumbe wowote jwa member huyo either wa kumpongenza au kumtaka abadirike.
Wakuu kama kichwa cha habari apo juu... naomben lokeshen kaliii yenye privacy ila bei iwe ya kitanzania.. maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi ukoo..
Natanguliza shukran..
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali liko bayana!
Kama wengine wanavyoweka picha vyumbani au sebuleni!
Je: Waweza Bandika picha (Laminated) ya mtoto wako bafuni kama ishara ya upendo?
Ni sawa au hapana! KWANINI? Maana bafu...
Tunapenda kuwakaribisha mabibi na mabwana wageni kwa wenyeji kwenye tuzo za Jf mwaka 2019
2019 has been a fast year and the competition was tight but lets give a round of applause to our nominees...
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?
Halafu zote...
Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Sina mengi ya kuandika kichwa cha habari kinajieleza ,niwatakie heri ya mwaka mpya 2020 ,ukawe mwaka wa mafanikio popote mlipo Na mungu awabariki sana kwangu huu mwaka nauna kama mwaka miujiza...
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo...
Yaani tofauti na ile ngoma ndani ya sikio kuna kitu gani kingine maana nilikuwa naoga maji yakaingia ndani sikioni ikabidi mle bafuni nichezeshe kichwa ile style ya wanaume mapanga shashaaa ya TMK...
Heri ya mwaka mpya wapendwa,
Leo tarehe 1 january 2020 nimefanya kitu ambacho sikuwahi kufanya miaka ya nyuma, naamini hii ndo maana ya mwaka mpya na mambo mapya[emoji23].
Leo wakati naperuzi...