Kweli kifo habari nyingine uuuuwi
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Sikia Hii kali ya leo
Familia moja walifurahi sana kupata mtoto, lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku...
Nipo eneo fulani hapa nachakata kinywaji kiwe mkojo
Sasa Kuna wadau kama wanne wapo Meza ya Jirani ,halafu nahisi ni wasukuma hawa manake nipo kwako huku
Hiyo meza waliyokaa wadau ,watatu...
Ndugu zangu, sisi watumiaji wa Tecno tumekuwa tukionekana cheap sana kutokana na simu zetu za Tecno kudharaulika kana kwamba ni za kimasikini tofauti na wale wanaotumia iPhone, Samsung ama sijui...
Kila siku watu tunasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Safari zingine ni ndefu, kuna mambo mengi yanatokea unatamani kushare na wana JF wenzako.
Tukutane hapa kuanzia mwanzo mpaka...
Mzuka wanajamvi!
Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha.
Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako...
Wakuu,
Kuna mhudumu wa baa alikuwa ananihudumia, bahati mbaya au nzuri akanikubali akawa ananihudumia (plus watu wengine). Ana bastola kabisa maana mida ya saa 8 usiku kuamkia leo wakati tunataka...
Mimi ni mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji kwa tiketi ya CCM, mgombea mwenzangu anawakilisha vyama vya upinzani. Ukiandika CCM kura ni yangu, ukiandika 'UPINZANI" kura itakuwa ya mgombea wa...
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusikojulikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je, wewe unaelewa...
Wakuu mimi nimekuwa mpenzi sana wa kupenda marafiki wahuni kwa kuwa nawaona sio wanafiki pia wanatoa msaada muda wowote utakao hitaji
Yani ukiwa muhuni nakukubali kichizi kuliko ukiwa brazameni...
Wajinga wameshindwa andika 'Tanzania' badala yake eti 'Tanzanja'.. Yaani mna poor market approach, poor questions mpaka poor text writing!
Heri kubet unajua kabisa team zinacheza, ukikosa unaona...
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani
kuna jirani yangu hapa yamemkuta. Katoka kazini kafika stend akakuta pweza, basi akala pweza wa buku jero.
Akaomba na supu ya pweza ya mia tano...
Huyu mke nilimuoa akiwa hana kitu, kwa bahati alitafutiwa kazi na ndugu yake kwenye kampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi fasheni na yeye yeye na fasheni vipodozi kila...
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!