Wadau.
Kama tunavyojua sote tunapata pesa kwa magumashi kwa namna moja au nyingine...
Kutapeli, kuiba, kudanganya, kufoji nyaraka, kutoa rushwa, mazindiko kwa waganga nk...Pesa isiyo na jasho...
Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu.
Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo...
Jamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
Amani iwe nanyi wakuu.
Katika maisha yangu mpaka sasa hela kubwa ambayo nishawahi kuishika ni million kumi tu, lakini cha ajabu nayo iliisha halafu sijui hata iliisha ishaje. Nilirudi home mikono...
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
Nawasalimia WASICHANA wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA.
Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI.
Nawasalimia...
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tule
Vijana wanataka pepo wanaogopa kufa bhana. Nimefika Baa moja nikaagiza supu na katonic kangu pemben kuna meza kama tayu zimezungukwa na vijana wakila raha na aina mbalimbalu za bia.
Hahahaa...
Chukua samaki wako mpasue, mtoe makolokolo yote ya ndani muoshe vizuri kwa maji safi na salama. Baada ya hapo sasa mtie ndimu ya kutosha, mtie tangawizi ya kutosha, mtie kitunguu swaumu cha...
Mapema wiki hii nilikuja kijijini kuwaona wazee huku Bariadi, sasa siku ya Jana asubuhi nilitoka na mzee tukaenda mjini,tulirudi mida ya jioni saa kumi na mbili,ule muda mifugo inarejeshwa...
Wakuu salamu.
Hivi kuna mwanamke yeyote yule iwe wa familia yenu, mtaani, jirani au humu Jf aliyehudhuria ibada ya kisulisuli na sasa ameshapata mme?
Hebu tushirikishe ulimpata pata vipi au...
Leo nilikuwa chuo pale, ndo natoka hapa sasa. Jaman masela kuna vyombo vipya 1st Year vimemwagwa kila type. Ipo kazi kwenu mabaharia. Watoto bado wanaonekana wabichi kabisa, mnato utakwepo msije...
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa...