JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Its just a simple thread which give u platform to meet witsa new knowledgeable friend..drop ur pic na ikibdi tupia location eg.dar or us ..
1 Reactions
5 Replies
641 Views
Aman iwe nanyi Leo mtaan kulikuwa na mada iliyokuwa inahusu neno akili, aisee kilinuka mazee Kuna jamaa alidai marehemu Ruge alikuwa na akili sana Ndo mimi nikadakia nikasema bro akili ni nini...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi. Mimi naomba kujua ni kwanini Wamarekani wengi wanaitwa akina Carter. Au Carter ni jina la kiasili kama ilivyo huku kwetu majina kama Masawe, Masanja, Mayala au Mabula? Maana...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Tunaishi kwa sababu tulizaliwa. 2. Tunaishi kwa sababu bado hatujafa. Kama zipo nyingine tunaweza kuongeza hapa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Moshi kote Kilimanjaro ndogo ni 1500 eti Dar kubwa na ndogo zote bei moja, hiyo imekaaje wasee?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi kwa sasa nina umri wa miaka 38. Sijawahi kukosea vipimo wakati nanunua boxer, tight ama chupi japo huwa sijaribishi physically, ni macho tu nikikodolea lazima size yake iwe sahihi kwa...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Je ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu iwe kwa kujua au kwa ghafra? Je ulijisikiaje siku hiyo? Binafsi niliwahi jamba mbele ya mdingi wakati tuko mezani tunapiga msosi mzee alinitazama...
5 Reactions
304 Replies
24K Views
Jumamosi ya juzi nimetimiza miaka 9 tangu niifahamu JF. Ni safari ndefu nashukuru sana site hii imenijenga sana, nimekutana na mawazo mengi mazuri. Thanks #JF
2 Reactions
4 Replies
574 Views
Hili soko huwa linakua ni siku gani limechangamka? Nahitaji kwenda huko kununua nguo na viatu watu wanalisifia sana hapa Moshi na Arusha ila sijawahi kufika Unashuka kituo gani kwa mtu anayetokea...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Diwali is called the Festival of Lights and is celebrated to honor Rama-chandra, the seventh avatar (incarnation of the god Vishnu). It is believed that on this day Rama returned to his people...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi. Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache...
4 Reactions
5 Replies
829 Views
Sasa hivi nipo mashakani nasikia kama mabomu yanalipuka kama Yale ya mbagala... Kuna nini wadau??
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ilikuwa ni combination ya watu wachache, hapa jukwaani!! Waliokuwa na nguvu kubwa ya Ushauri. Mkuu Tized Mkuu Mr Rocky Mkuu OLESAIDIMU Mkuu Ntuzu Mkuu Mndengereko n.k Mko wapi Team Marafiki?
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Inasemekana Kwamba Kumbe Haya Magari Watu Wanayoyamiliki Yamegawanywa Ktk Makundi Makuu Mawili Ambapo Kundi La Kwanza Ni Lile La CHOMBO TU CHA USAFIRI Na Kundi La Pili Ni GARI LENYEWE Na Mimi Bila...
1 Reactions
209 Replies
26K Views
Kwa wale wenzangu tunaosafiri safiri humu Tanzania. Hii Holiday Inn ya Iringa Tunaweza fananisha na wapi katika mikoa mingine ya Tanzania. Hii mahali hata shetani amepakimbia.
0 Reactions
23 Replies
11K Views
1 We endeleza utakapokutia tuone tutafika mpaka Ngapi? Let's start the game
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari, eti nasikia kuna ndege imepata hitilafu mwl nyerere airport ni kweli, au ni zile zimamoto za majaribio?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning. Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…