JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Enzi zile nilikua nafanya mchezo wa kubahatisha namba, nikikutana na sauti ya kiume napotezea, nikikutana na ya kike nachombeza. Sasa kuna huyo dada anaitwa ***, ana sauti laiiini kwenye simu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
UKIMWI ni kama bahati nasibu nyingine, yaani "kadri unavyoshiriki ndivyo unajiongezea nafasi ya kujishindia" Kwa maana ya kuwa kama wewe ni mtu mwenye bahati sana, yaani ukishiriki bahati...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini marafiki 12/07/2014 Kwa mara nyingine najitokeza tena kuwania kiti cha Urais wa Tz mwakani hivyo nimeanza vikampeni vya chini chini iili nikiibuka niwe kiuhalisia Mnamo 2010...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Kuna ule usemi aliyenacho uongezewa. Uzoefu wangu unanionyesha kuwa ukiwa katika mahusiano ndipo wakinadada wanamiminika sana kukushobokea na kukuhitaji kimapenzi lakini ukiwa single na wakajua...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
1.NYOTA YA TWIGA: Majina ya kuanzia na herufi A, M, Y. Siku yao nzuri: Jumanne mchana Siku Mbaya: Jumanne usiku na Jumatano mchana Ni siku za Mikosi, kutoswa, Kesi, na mabalaa, usitongoze, ni...
1 Reactions
27 Replies
19K Views
Nmeona uzi wa wenzetu jinsia pendwa wakitiana moyo na kufarijiana nkaona si mbaya pia na sisi wa upande wa pili tukipongezana na kuelezana changamoto mbalimbali tunazokabiliana nazo hasa kwenye...
1 Reactions
176 Replies
16K Views
- Kujiona una sumu kwa kumpata demu kisu kumbe demu ni muuzaji. - Una cheti first class ila ajira amepata mwenye lower class. - Kutunukiwa tunda na binti mrembo alafu mnara ukagoma kusoma. -...
1 Reactions
5 Replies
932 Views
Katika vyumba vya mtihani kuna wakati huwa yanatokea mambo ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi. Moja ya matukio ambayo huwa nayakumbuka ni: 1. Tulikuwa katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili...
2 Reactions
169 Replies
13K Views
Na yeyote anayekosea japo namna ya kuushika hata awe nani, anapewa adhabu kali ambayo ni ngumu kuisahau na ni funzo kubwa kwa wengine (wakati huohuo). Sa' usiku wa kuamkia leo nimejaribu...
1 Reactions
3 Replies
676 Views
Ebu tupe Experience yako hapo... coz wengine tunasikia tu kazi... kazi! na hatuzioni!!!
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Uzi huu ni wa kubashiri ni nani atakae fuatia kupewa cheo cha plutnum member ,yaani mtag unaemuhisi au yule unaevutiwa na mada zake au ushauri wake binafsi namuhisi Sky Eclat. Karibuni .
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni mwoga wa kutongoza mademu wakali, iko naomba mnipe ujasiri ili na mimi niwe nakula matunda matamu.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Copy & Paste *Kisulisuli niache* Kisulisuli niache Niache usinivute Na sitaki nikufiche Baadae unisute Hao watu ni vicheche Usinifanye nijute *Kisulisuli niache* *Hao nawajua Mimi* Walishindwa...
1 Reactions
2 Replies
493 Views
Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku. Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Primary : Nguzo Primary (Morogoro) secondary : St Francis de Sales (Morogoro) , Bishop Durning (Arusha) Nasubiri nimuone School mate mwenzangu
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nafurahi kuona bado kuna nyimbo za bongoflava unaweza kusikiliza ukaweka rewind.. Unaipa asilimia ngapi hii kapo yenye vipaji vya hali ya juu kabisa? Kusah We umenikaa, umenikaa kwa roho Nafsi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Hahahahahahahah, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nawe pia cheka pia waruhusiwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanafunzi wenzangu! Nilianza masomo ya awali mwaka 2012 baada ya jirani yangu mmoja kuniambia kuwa kuna shule moja nzuri sana hapa mjini, hivyo nasaha zake zikanivuta na kuanza shule ya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mfano: Upepo wa kisulisuli ulinipitia nikamua kuchomoa betri baada ya jamaa kuzidi kujimwambafai. Karibuni.
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi Ki ukweli nimetokea kuvutiwa na huyu Dada Yan hata nikiwa na njaa nikiona kale kapcha ma Kake k wenye avatar najikuta nasiba We Dada una mzizi au Mana cjakuona live lakini...
7 Reactions
173 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…