JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana zengo siku flani weekend moja amazing na washkaji tunakula vyupa katika story mbili tatu ikafika mada mezani watu wakijinadi wamegegeda mechi zakutosha zinaweza fika hata mechi mia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari watafutaji Mm nimekuwa muhanga wa ili jambo asee na hii ni kitokana na mishe nyingi za mchana yan ile kitendo cha kuweka ubavu kitandani na kupitia post mbili tatu za umu jf unajikuta...
1 Reactions
10 Replies
996 Views
Habari zenu wana JF, Natumai mpo powa Usiku wakuamkia Leo nimeota ndoto namlinda mheshimiwa/mtukufu Rais wa jamhuri ..alikuwa hana mlinzi zaidi yangu MIMI kyaka Wenye ujuzi wa mambo nisaidieni.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tuelezane kazi tunazofanya kwa sasa.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi. Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
BABA: Mbona tooth pick zinaisha haraka dada? DADA: Watoto wako hao, wakisha tumia wanatupa, mi nasafisha narudisha Hivi hapo utachukua hatua gani kwa mfano. Chezea dada weee.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi huyu shemeji yenu ana matatizo gani jamani? Hivi ingekuwa wewe ungepokea hii zawadi? Na sifahamu nimjibuje najiuliza hadi sasa.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeendesha gari kwa miaka kadhaa sasa lakini sijawahi kubahatika kukutana na gari la wagonjwa likiwa sheli, ni mimi tu au kuna aliyewahi kuona Ambulance ikiwa sheli?
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau Naanzisha Uzi Maalumu Wadau. Waliozaliwa Mjini Wakiwa na Wazazi Wao Wakiwa na Nduguzao. Karibuni.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
"kosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume" Limelipo gazet moja pendwa nchin Tanzania Facebook Siyo handsome, huna pesa, huwez kuongea sasa nguvu za kiume unapata wapi
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu wiki mbili zijazo natarajia kuelekea Zanzibar, so kwa anayefahamu huku maeneo gani naweza kupata lodge au guest ya kufikia maana uwezo wa hoteli sina.
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Kisulisuli niache Kisulisuli niache, Niache usinivute Na sitaki nikufiche, Baadae unisute Hao watu ni vicheche, Usinifanye nijute *Kisulisuli niache* ,*Hao nawajua Mimi* Walishindwa kujitunza...
2 Reactions
9 Replies
810 Views
Amani iwe nanyi mabaharia Nimewaita kwa kikao cha dharura. Naomba tuwekane sawa mabaharia. Kwa hizi siku chache kumetokea mabaharia fulani ambao wanaharibu chama chetu kwa kuwamiminia wachumba...
5 Reactions
9 Replies
856 Views
Ndani ya kanisa moja linaloanza na neno "THE CHOSEN" lililopo maeneo ya Nyakato Mwanza, wanaume 19 watangaza ndoa kwa mpigo. Kati ya wanawake waliotangaziwa ndoa single mother wako 17. Single...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mlikutana wapi we na partner wako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale. Wewe na mwenzio mlikutana wapi?
6 Reactions
134 Replies
10K Views
Nipeni somo wazoefu mliowahi kutoka na wazungu (wadada kutoka mataifa ya ulaya) Nawaonaga tu mitaani, nianzie wapi? [emoji848]
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari moja inayofanya safari zake Shinyanga - Mwanza limepinduka na kumwaga mbao hali iliyopelekea wananchi kuzishambulia kwa wingi na inasemekana wananchi hao wana elekea kwenye msiba wa mafarao...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…