Habari wana JF. Bado natamani kufanya mashindano ya waandishi na kupata pesa, round hii nakuja na FORUMS kama JAMIIFORUMS ila yenyewe inakuwa kama group la facebook linavyofanya kazi wasomaji...
In the Journal of my heart,
I have written a Journal Entry,
Debiting my love & crediting my affection,
Now Filipo my hubby, you write the Narration.
Your love, is the Capital of our...
Salaam Wanajamvi,
Kwa sisi ambao tumecheza chandimu hadi kufikia gozi enzi hizo mwenye mpira hafanyiwi sub. Leo nimekaa nimewaza kwa kina sana, nadhani hali ya mvua pia ya Jiji la Dar es Salaam na...
Ebwana jana nimesubiri kwa hamu sana upepo unipitie ila kwa bahati mbaya mpaka nikasubiri mpaka jioni sijaona upepo kunipitia wala nini. Sasa wadau kuna mtu yeyote ambaye amepitiwa na upepo na...
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Watu Ambao Wanaokaa Kwenye Viti Virefu Vya Pale Kaunta Vya Bar /Club Wakinywa Pombe.[emoji3]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha...
HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1: Sipendi mtu aniulize...
Naamini ule UPEPO wa Kisulisuli umevuma nchi nzima na leo ndiyo deadline. Mliobahatika kwenda Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God kwa Mama Rwakatare, naomba mnijulishe, matokeo yakoje kwa...
Kwanza nikupe hongera na kongole kwa kupandishwa cheo cha platnum member,
Kingine nilikuwa nakuuliza hivi kwenye kazi yako ya ulozi hivi kipindi kama hichi cha mvua kila sehemu/mkoa mkiwa huko...