JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapa nimeona account ya marehemu mume wa Zari the Boss Lady ikiwa active na neno "Account for the late under new management" basi nimejifunza mengi kama wengine.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yaan atachanganyikiwa
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuuu tusaidiane kuziandika nyimbo nzuri na zamajonzi za kutufariji pale wapendwa wetu wanapotangulia mbele ya haki... Kwakuanzia.... 1-kamanda song 2-palapanda song 3-........ 4-...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kweli maisha yamekuwa magumu,eti mpaka asa ivi vitafunwa havijaisha chapati ,vitumbua,mihogo mpaka sasa ipo tu inasubiri walaji Asa sijui watu hawanywi chai au?
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Nauliza tuu maana mko kama mnatania vile, Channel mlizonazo hovyo hovyo, Local channels hakuna, Hebu rejesheni local channels kama kulipia siso tutalipoa tu Bila hivyo jiandaeni kufunga biashara...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo tujikumbushe gazti la sani la zamani. Mule kulikuwa na mtu anaitwa Madenge jamaa yeye ni mzee wa matukio tu. Huku mzee baba mzee Kifimbo Cheza yeye fulu kugawa stiki kwa sana. Wewe...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Hellow bosess; leo saa tatu hii usiku kwa sababu zilizipo nje ya uwezo wangu kuna jambo lilinipa Hasira na kunikasirisha sana, nikajaribu kunyamaza ili zipungue nikaona haina matokeo ya haraka...
4 Reactions
228 Replies
10K Views
Hey guys..Lets share our happy moments tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako? Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share #chitchat#Mood
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa maandiko yanasema ule Uchakataji uliokuwa unafanyika pale Sodoma na Gomora ulikuwa si wa mchezo, Mwenye nguvu ndio mla Nyama yaani Hakuna kutongoza ukikutana na demu popote pale...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni kijana wa chuo mwaka wa kwanza Nimejihusha kwenye comedy hii Nilifanya siku moja chuoni kila mtu aliipenda Kwa sasa nimeamua kuingia moja kwa moja katika comedy hii Kila siku najifunza vipya...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
😀😀😀
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani humu ndani sote tunajua si wote damu zimeendana wengine humu twachukiana kwa sababu au bila sababu Mwingine anatokea tu kutomkubali member fulani kutokana thread zake au comment zake...
1 Reactions
5 Replies
697 Views
Namleta kwenu kijana matata aliyejaaa Makinikia kichwani kichwa kichafu
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Sijawahi kusafiri nikakaa siti moja na mtoto mzuri nimpige mapochopocho au vyumba tamati ya safari. Kila siku nakutana na ngumu nyeusi mnyama Diamond, simba, valeur, konyagi, gongo..
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kwenye familia nani mwenye jukumu la kununua pedi kwa ajili ya binti? baba au mama?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Good night wakuu
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimekuwa nikikwera na tabia ya mtu kuongelea suala asiloliju. Unakuta mtu sio medical personnel au sio mtu anafahamu masuala ya banking lakini huleta ujuaji sana kwa suala...
0 Reactions
5 Replies
605 Views
Je, una mume au mke, girlfriend ama boyfriend? Unakumbuka mistari (uliyotumia/ aliyotumia) mwenzio kukuingiza kwenye kumi na nane? Please share It with us
3 Reactions
11 Replies
967 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…