Kwa miaka mitatu ambayo nimekuwa humu jamvini hakika nimegundua Kuna baadhi ya watu wanna IQ kubwa Sana ila Kuna wengine dooh! Lazima uwatafakari Mara mbili mbili ila yote kwa yote Ni kuwezesha...
AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE.[emoji1362]
Dr love Gilly
[emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519]
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu...
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo...
Maisha ya kusoma yana vituko vyake.
Moja ya vitu ambavyo havijawahi kufanya kazi kwangu wakati wa kusoma ni hii mbinu ya kuweka miguu kwenye beseni la maji, nakumbuka siku moja baba mdogo...
Habari za saizi wakuu nikiongelea kubanja kila mtu anaelewa namaanisha nini. Kuna siku nilienda kwenye gradue ya form4 ya mdogo wangu mbeya pale soko matola kwenye ukumbi wa mkapa kipindi hicho...
Hapo Daslamu kwa wazeiya wa Viepe yai
Wali nazi,
Supu ya Pweza
Huezi kuta kijani kibichi kama hiki Viunga vyote vya Daslamu
#Kilimanjaro, #Mbeya #Kagera #Matombo_Morogoro
Cc
General Mangi
Mr...
Mimi ninamajukumu yamenibana.
Baadhi yenu mmenimisi mpaka na uzi umetolewa kuhusu nimeenda wapi.
1. Masaa yakuandika upupu siku hizi hakuna hapa tu nimepata kaupenyo.
2.humu wamezidi utoto hata...
Tuzo ya Ujasiri wa hali ya juu apewe Jafo bila kupepesa macho. Maana kama anaweza pata usingizi akiwa pembeni ya Huu Mwambaa JPM..aisee Hata kwenye maji anaweza lala...
Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko
Wale wa Daslamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza...
Je, ni Saikolojia gani ambayo huwa ipo tu kwa Sisi Wanadamu ( Abiria ) hasa pale tuwapo Safari za Masafa marefu ambapo unaweza kukuta Abiria wa Kike tena ni Mrembo kabisa ( Sista Duu ) lakini...
Wana jf ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali??
Me binafsi kuna hii ya buibui "nimekusamehe ".hii nyimbo inanikumbusha dem wangu wa shule kitambo hicho nilivyomzingua ila akanisamehe...
Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi
Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu
Kwanza...
Mara Paaaap.. Umerudi zako home Unakuta Panya 6 (sita)
1. Panya wa kwanza anakula MsaaFu au Biblia
2. Panya wa Pili anakula Cheti cha Degree
3. Panya wa Tatu anakula Hati ya Nyumba
4. Panya wa Nne...