Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari.
Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii...
Nimeamua kuhamia biashara yangu humu ndani naamini mpo wadada warembo mtakaoniunga mkono kwenye hii biashara yangu mpiya.
Nauza vifuniko vya asali vya kila aina.
Uwe mwembamba kifuniko chako...
Nawashukuru wote ambao mmechangia kwa mm kuweza kufikisha point 1000 haikuwa rahisi Ila yote ni kwa sababu ya kuona umuhimu wa kile ninachopost au kucomment!! Thanks again!!!
Unaweza ukachukulia...
Dunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa...
Niseme tu tangu nikiwa nasoma siku hii haijawahi kuwa pendwa kwangu. Nilidhani nikimalizana na mambo ya shule nitaanza kuifurahia siku hii ya 'jumatatu' lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo.
Ni...
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere...
Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
Waswahili tumepatikana!
Pesa sasa imepata thamani na naendelea kuadimika.
Miaka hiyo ukipata demu ku spend utaambiwa laki si pesa(Tshs 100,000/=).
Mika ya karibuni na hata sasa hivi unaambiwa...
Wakuu, habari za weekend.
Naomba kuelimishwa kidogo:
Hivi hadi kiwanja kiwe classified kama either LOW DENSITY, MEDIUM DESNITY au HIGH DENSITY kinatakiwa kuwa na VIPIMO (sqm) zipi?
Napata wapi...
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k
Vichwa vitasomeka hivi.
1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini
2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya...
Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi.
Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu...
nimeikuta sehemu sijui kuna ukweli ipo hivi
familia ikwa na mtoto mmoja, basi huyo huyo ndo atapendwa na wazazi
familia ikiwa na watoto wawili wazazi watampenda wa pili kuliko wa kwanza hasa...
Mwaka wa korosho ushaanza kusini huko,watu wanapulizia dawa ili kuweka afya ya mikorosho.
Sasa sijui tutegemee sarakasi gani mwaka wa korosho ambao ni 2019/2020