JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana JF natumahi wote mko poa.. Sina nia ya kumjua Mshana kiundani kwani hata nikitaka huenda akazuia ufaham wangu wa akili... Mara kadhaa sasa amekuwa akipotea humu Jukwaani na hili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hah
Hah
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Man u mbovu na Chelsea chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team zimechokaa balaaa yani kuwa shabiki wa hizi timu no diet tosha stress zake ni balaaa bora Chelsea haina wachezaji wa...
0 Reactions
12 Replies
900 Views
Mshindi wa kwanza atakayejibu kwa usahihi nilichokuwa nachati hapa atajipatia pesa taslimu laki moja za kitanzania leo leo. Changamkieni fursa, Picha hiyo hapo [emoji116]
1 Reactions
4 Replies
660 Views
JF imekuwa kwangu ni kama kilevi ambacho huwa kila siku lazima niingie uswahili wanasema kama una mademu zaidi ya wa 4 unauwezekano kila siku ya kupiga mambo. Mambo yaliyopo humu JF si haba ni...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Mimi ni registered nurse, natafta mtu wa kubadilishana naw kituo Cha kazi, aje Mara Tarime DC, Mimi niende Dodoma, au Dar es salaam, kwa maelezo 0758388618
0 Reactions
2 Replies
595 Views
Aman iwe nanyi wapendwa Niko kwenye huzun kubwa sana aisee Ni siku nyingi sana simuon huyu kipenz changu jjes Sijui hata yuko wap Mara ya mwisho kuonana naye na kuongea naye ilikuwa ni mwez...
2 Reactions
10 Replies
915 Views
Sema kuna Watu wana roho mbaya sana duniani!!!! imagine walikaa kikao wakaamua ikifika SAA NNE kamili asubuhi tufukuzwe gesti!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Daahh!! Moderator wa Jf wapo makini sana wakati najiunga na Jf nilikuwa sijui sharia vizuri so kuna sheria nilikuwa nazivunja mwisho wa siku nakumbuka nilishawahi kupewa BAN kama Mara tatu hivi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarin wana ndugu, Hakika inauma sana pale unapo anzisha uzi afu watu wanaupita kwa kuupuuza kama huu wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Hakika nimeimiss JF ya kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma...Ni mtizamo wangu(my opinion)JF now days kuna members wanazingua sana..mtu anaaanzisha hata uzi wa kipuuzi na unapata airtime ya maana...
8 Reactions
82 Replies
5K Views
Vifuatavyo ni baadhi ya aina za Vitambi Unaweza kuongezea Cc yna2 Sakayo Mother Confessor General Mangi
7 Reactions
31 Replies
6K Views
Asee nisiwachose wala nini, now niko Bush flani hivi uku Iringa kwene harakati za kusaxa msosi wa kila siku To be honesty mi napenda sana nyama asa leo katika mizunguko yangu kwene harakat zangu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wape hi wakuu wenzio wa JF popote pale ulipo. Fanya hivyo kila siku kila uki login JF wape gwara wakuu wenzio wa JF. Then, endelea na harakati zako! Ukiweza kusindikiza post na ka picha, inakuwa...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
3 Reactions
110 Replies
6K Views
Ni mda sasa Bibie Evelyn Salt amekuwa banned kutotumia jamiiforum ni yapata miezi sasa. Kwani kafanya kosa gani mpaka apewe bann ya mda mrefu kiasi hiki?! Tukumbuke Evelyn Salt ni moja kati ya...
6 Reactions
131 Replies
9K Views
Habari za Mihangaiko ya maisha, natumai tu wazima, kwa wanye matatizo poleni Mungu awajalie wepesi Niende moja kwa mona kwenye mada, Kwa Mwanaume /Mwanamke, ulieoa/ulieolewa... Unavyumba viwili...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Je utakuwa unafanya NINI?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nauza CHIA SEEDS Kwa bei nafuu kilo moja (1) 15,000/= Ni dawa inayopunguza mashambulizi ya magonjwa kama 1) pressure 2)Inapunguza mwili 3)kisukari(diabete) 4)mshtuko wa moyo( heart attack) Call...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki hapa...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…