JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm. Hamia mpaka WhatsApp mbebishane. Mlilie njaa zako vya kutosha. Jiandae kuja kuumbuliwa huku. Mdada wa jf ukikutana na...
23 Reactions
477 Replies
24K Views
Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
jamaa yangu fulani alisema sapati badala ya chapati mwingine alisema mti wa mbibo badala ya mkorosho mwingine alisema kila mbwa kona hawa badala ya kila kona mbwa hawa mwingine alichapia umbombo...
9 Reactions
82 Replies
16K Views
Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku. Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake...
9 Reactions
149 Replies
7K Views
» Awe mrefu » Anaishi Dar » Mwenye kazi halali ya kumwingizia kipato » Umri 24 kwenda juu » Awe mgumba/asiyezaa/tasa » Awe mkristo/mkristu » Elimu kidato cha nne kwenda juu » Mimi ni ME
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Kwa ambae ana mtoto anasumbuliwa na homa mala kwa mala hasa wakati wa usiku, Na mala nyingi akimpeleka mtoto hospital anashindwa kutambua hasa nn chanzo cha mtoto kuchemka na kua na joto jingi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Uzi wa matajiri Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Wangu ni huu Kinyonga akiwa anazaa/kujifungua basi anapasuka na kufa ndipo mtoto anatoka nilikuwa naumia sana akili sasa mtoto wake anatunzwa na nani ikiwa mama lazima afe!! Mamba akihisi njaa...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
kinachonisikitisha ni kua kufikia mwaka 2099 wote humu tutakua tumekufa...,,!!!?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa bna tulikuwa nae village huko Siku moja wakaja jamaa wa mazingaombwe school kwetu,kiingilio kilikuwa sh ishirini. Mimi sikuwa na hela unajua me nimetokea familia choka mbaya sana Basi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Unalala Zako Usiku wa manane, Unashituka na kuamka unamkuta mke wako anakumulika na Torch makalioni(ukiwa pee) utamfanya nini? Cc Zero IQ
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habar zen jmn... Nahitaj kujua vyuo vya afya ambayo bdo vinaruhusu upgrading ya diploma in medical laboratory, kwa yeyot anaejua plz naomba anilistie
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Dada Zangu ma besti zangu na rafiki zangu, ukialikwa na mwanaume kwenda kwake ndio mara ya kwanza hakikisha ana kupa na nauli ya kurudi iweke mfukoni kabisa au akuhakikishie tu ukifika anakupa...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
People kibao. Jinsia ingine ndo usiseme
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Ninaapa Mbele Ya Mbingu Na Ardhi Pamoja Navilivyomo Kwamba- Hawa Jamaa Wanaojiita Wakimataifa Ambao Masaw Bwire Amewananii Square Hatakama Wangecheza Dhidi Ya Majambaz, Basi Niuawe Tu Baada Ya...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Kumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako. Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na...
3 Reactions
6 Replies
648 Views
Ni swali nimetoka kuulizwa hapa hivi karibuni na dada mmoja hivi hapa kibandani kwangu mara baada ya mtongozo wa kimasihara masihara ? Wakuu nimjibu nini? Cc Zero IQ
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…