JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nitakuwepo apo naomba kujua Sehemu ya nzuri ya kulala bei isiyozidi 50k Ningependa zaidi kuwa country wide Ahsante
0 Reactions
7 Replies
871 Views
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia ..... 1.DIamond platnum KIGOMA 2.ALI KIBA KIGOMAAAA...
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Kwa watasha tu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Anae wajua wabongo wanaoenda live tupe id zao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana. NB: sijali umri,dini wala jinsia.
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kutoka kwa mwana ubongo fleva Omary Nyembo, nipo napita yutubu nakutana na kideo cha mwanamuziki huyu ila kilichonishangaza ni ile picha ukutani na kilichonichekesha ni ule mjina aliousave mdada...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Visa Card 2. Driving License 3. Hela ya matumizi Wallet ya kijana wa Kitanzania 1. ATM card ya NMB 2. ATM card CRDB 3. Kitambulisho cha Taifa 4. Leseni 5. Kadi ya mpiga kura 6. Business card...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
-Kama unapigiwa simu unainyanyua juu kisha unauliza nani huyu tena anapiga! Wewe ni mhenga -Kama ulitumia mafuta ya kimbo ya kopo la chuma wewe ni mhenga ndugu yangu. -Lingine kama ulioga kwenye...
7 Reactions
141 Replies
9K Views
Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Wakuu Habari xa wakat huu kama ingekuwa ww ndo umekutana na hii yaani ww ndo Adimn wa hili group ungefanyaje baada ya haya yaliyoendelea kwenye group lako ukiwa kama adimn, shuka nayo mwenyewe...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana memba nimeona ni vema na haki kutakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa wapendwa wetu hasa wale wote wanaopitia na kufatilia JF. Pia kwa wale member wa JF tunaweza kuweka tarehe za siku ya...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu. ..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
8 Reactions
96 Replies
4K Views
Naona huku kanda ya Kawe kwa Halima Mdee mambo ni shwari kabisa vyuma havijakaza wala nini watu .......mambo ni kazi na bata kwa kwenda mbele. Usiku mwema!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndoto niliyokuwa nayo kwa mda mrefu ni kuweka bembea chumbani kwangu. Ndoto nimeitimizi.,bembea ina raha yake
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Ulijisikiaje Mara Yakwanza Ulipopost Thread Na Kupata Views Na Reply Za Kutosha?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii imetokea Japan. Wanandoa walikuwa wanajiandaa kufanya mapenzi, ghafla wakaanza kubishana,,, Mume: "sukitaki mojitaka" Mke: "kowanini mowi janakpta" Mume (kwa hasira): " toka anji rodi roumi...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari; Ndani ya Jamii forum kuna kila aina tofauti tofauti za watu, na kila mtu ana umuhimu wake katika maisha yako. Nikiwa na maana ana msaada katika eneo fulani la maisha yako. Inafahamika...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza. Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa...
16 Reactions
46 Replies
4K Views
Najua haiwahusu ila nawaambia tuu nimemuahidi demu wangu kumuhonga hii dunia Kesho kama itawezekana hadi asubuhi muwe mmeondoka
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…