JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
.
26 Reactions
141 Replies
7K Views
Salaam/Shalom. Namshkuru sana MUNGU kwa kunipa afya na pumzi kuweza kufikia siku hii ya leo. Namuomba azidi kunipa afya njema na umri mref ulio na Baraka, Furaha na Amani tele ndani yake. AMIN...
11 Reactions
77 Replies
5K Views
Tuwasaidie wenzetu hata kuwauzia sungura tu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua sasa ni kitu kimoja msaada...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Has been a while since I was here ! Miss al good days when there was no instagram drama or snap! Enzi za kina blog za mange na sintah LoL Current news ni hapa ama fb! How is everything and...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Dah enzi hizo niko Tukuyu nasoma sec school kati ya vitu ambavyo vilinipa kazi mpaka sasa ni kuoga maji ya baridi asubuhi ili kuwahi assembly. Hivi wewe ulikua unaoga maji baridi kwa staili gani...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Naitaji mpenz awe mkristo kuanzia umri 24 to 28, elim yoyote, Mimi Nina umri wa miaka29 mkristo makaz dar na Zanzibar.
0 Reactions
7 Replies
877 Views
Hizi picha ili kuzielewa ni lazima uzirudie mara mbili au 3 ndio uelewe ingawa zimepigwa katika hali ya kawaidia.. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Daah nikikumbukaga hili tukio huwa naumia Sana.. Ni tukio la kikatili mnoo.,lililofanya nichungulie kaburi!.. Toka siku hiyo nikaamini ule msemo "dunia hadaa walimwengu shujaa "😤😤 tukio hili...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi nawasaidia kwa kuanzia "Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara" Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe...
17 Reactions
345 Replies
16K Views
Ulijisikiaje Mara Yakwanza Ulipopost Thread Na Kupata Views Na Reply Za Kutosha?
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Nahitaji flat srceen used au mpya kwa mwenye nayo plz tufanye biashara awe maeneo ya Dar utaje na bei. Kampuni ile Lg samsung au tcl au nyinginezo ila isiwe star x Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapo wengi wengine tulijuana kwenye biashara za kilimo enzi zile... baadhi kwenye harakati ya NNT huyu alidai ananijua tulionana simu2000 Mshana Jr Wewe je Ni member gani unae mfahamu?
6 Reactions
261 Replies
12K Views
Huyu jamaa angekuwa Nje hakika angekuwa Billionea saa hizi lakini Kibongo bongo yani haya Majiko atauza kwa bei ya ovyo akati idea yake ni Ubillionea tosha... Sema jamaa noma sana la saba lakini...
0 Reactions
1 Replies
592 Views
Hello Guys.. I'm looking for the two girls.. Naamini kabisa kama watakuwa hai basi na jamiiforum [chit chat] watakuwa wanaijua... Majina yao ni Irene yeye alikuwa wa dar, na Admirable...
11 Reactions
139 Replies
8K Views
Natumaini uko salama salama... Natamani nikukumbushe kitu .. Chukua CV yako kule mwisho kuna sehemu umeandika Referees ... Hebu tafuta vocha wapigie .. Wasalimie.. Uwajulie hali... Wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa...
6 Reactions
24 Replies
9K Views
Kuzitaja namba huwa zinaleta utata kiasi kwamba wakati mwingine ni kituko.mfano MTU anasema laki kumi. Ili tuende sawa unataja namba na mwingine anaendelea ulipoishia ili kuona mwisho wa kutamka...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Tunauza na kusambaza mbwa aina ya German sherfad,mikoani tuna tuma karibuni sana, Mbwa wetu wanauwezo wa kunusa na kutambua mita 100 kutoka usawa wa adui alipo, karibuni sana
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…