Siku hizi nyumba kama hizi sio nyingi sana kwenye jamii yetu, nadhani inatokana na mabadiliko ya kimaisha, kijamii na pia kiuchumi
Hizi ni nyumba ambazo ndani hake wamelelewa watu wengi sana. Sio...
Leo niko huku kidogo.
Angalizo !
Kama uzi utakuwa una fanana au umeshawahi kuwekwa humu,ni aula nikakuzwa.
Sina kumbukumbu vizuri,ila nakumbuka ulikuwa uzi fulani unahusu "Cloning"...
TABIA 20 ZA WANAUME WA TANZANIA:
1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyi kazi kabisa, wao hushinda vibarazani, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza!
2. Wanaume wabishi zaidi...
Napenda kufahamu iwapo wanaume kutoka jamii ambazo hazina utaratibu wa kuwatahiri wanaume wengi wao wanakuwa waoga na kupenda kutumia vitisho katika kufanikisha matakwa yao katika jamii. Pengine...
Saa 9 Usiku: Timu itawasili JNIA huku Taa zote zikiwa zimezimwa Uwanjani ili Wachezaji wajigonge na Vyuma waumi na wengine wajikwae hadi Kuanguka ili akili ziwakae sawa Michuano ijayo wazitumie...
KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME
SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati ya mto. Mkono huo wa...
Tumsifu Yesu Kristu!
Tumekuwa tukiwaona MaAskofu wetu wakiwa ndani ya Baadhi ya Mavazi ambayo mara Pengine wengine Hatuyafahamu, Basi Haya na Ndiyo Maelezo ya kila Vazi!
1. Pete ya Askofu...
Kwa mujibu wa Msemaji wao na namnukuu hapa chini.
" Tulikubaliana kabisa na Simba SC katika Pre Match Meeting kuwa tunawaomba Mechi yetu wasiwacheze kabisa akina Shiboub, Chama na Kahata kwakuwa...
Habari za mda huuu....
Poleni na changamoto za maisha..
Hususani kipindi hiki...
Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu...
Me: babe,babe kesho nafanya zoezi la kurusha ndege chini ya uangalizi wa mwalimu wangu..niombee nifaulu mpenzi.
She: nyooooo!unashindwa kurusha vocha ya buku utaweza ndege![emoji135]
Duru za Habari zinazoenea chini kwa chini ndani ya serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es Salaam-DARUSO zinasema ya kwamba mmoja ya mawaziri maarufu wa serikali hiyo mpya 2019/2020 amepata...