wakuu nilitoweka kwa muda ndani ya ulimwengu wa mitandao na hasa JF Sababu kubwa ni kufulia yaani nimefulia ni kinyama nimekuwa maskini sana lakini mambo yakikaa vizuri nitarudi humu ndani...
Wkend ndio hiyoo wanywaji wenzangu tusogee maeneo yetu ya kujidai,
Haya ni baadhi ya mambo tu yanayofanya kuichagua bar yangu ya kudumu
1.socket kwa ajili ya kuchajia simu, wanywaji wenzangu...
Sherehe isipo kuwa na mambo haya huwa unajisikiaje
Bia (Pombe) mbadala wake yapo maji ya uhai makuuubwa Na siyo Kilimanjaro
Mziki mzuri mbadala wake kuna radio ndoogo tu ya kichina ambayo haitumii...
ndugu zanguni nimeona kwenye gari msemo huu "Nguruwe pita leo sina mkuki";
nakumbuka Malila alshawahi kuutuo katika one of the post, pia nadhani (sikumbuki vizuri) kuna member mmoja ana signature...
punyeto haina madhara ,inafaida nyingi sana,karibuni wadau ,taja faida moja ya punyeto,mim moja ni kwamba inapunguza gharama,pili,inakupa raha 100%,inaondoa stress,inaondoa usumbufu,inaokoa...
Huu mchezo ulikuwa na mambo yake kipindi hicho.
Nilijuta kwanini nilicheza kombolela na wakubwa walionizidi umri. Nikiwa na umri wa under 7,niliwahi kuondoka na mpira yakiwa ni maamuzi yangu ya...
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.
Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.
Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?
Daaahh, life bana linatupeleka puta sana...
HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
Watanzania utalii unatuharibu tukija kwenye uhalisia wa maisha ni vyema ukienda kutalii ama kuangalia kwenye TV mambo mengine tusiyalete kwenye jamii ni aibu sana
Nilikuwa nimekaa sehemu napata...
Kuanzia leo hii hata nikiona gari la babycare limeangua ni kufungua miguu yangu kwa speed ya ajabu...................Watanzania wenzangu mafuta ni mafuta tu....
ninasikika au niongeze sauti? au...
Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar...