Mimi ndimi.
Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana...
Knock! Knock! Knock...!! The devil want to come in...
Muvi kubwa inayopendwa na wengi duniani Avengers Endgame is coming..
Officially inategemewa kutolewa tarehe 26/4/2019 United State.
Jina...
Nilijikuta nabuni style ya kukata gogo nyumba ya kupanga hadi leo naitafakari sana nabaki kucheka tu.
Nilikuwa nafanya masomo kwa vitendo, sasa nilienda mkoa flani kwa mwaliko wa rafiki angu...
Hindi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sans...
pis kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada...
Habari za mda huu wana Jf,
Naomba tujadiliane kuhusu hili jambo kama kichwa cha uzi kinavyosema
Kwa mfano unaweza ukawa umetoka kwenye mishe zako unarudi home ukaona Butcher kubwa imepigwa...
Wanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika
Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine
Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo...
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
Nina dada (upande wa mama mkubwa) ana miaka 22 mpaka leo hajawai kuwa na mwanaume yeyote sababu anazosema anataka mimi ndie nimtoe bikra yake.
Nifanye nini ndugu zangu?
Dah nasikitika sana wakuu kuwatarifu kuwa toka nizaliwe sijawahi kabisa kulamba mchuchu mkali mweupe mwenye shepu tata na anayejua kulembua kama beyonce
Dah yaan kila nikiona demu mkali naogopa...
Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada
Eti ni maneno gani mengine ya kiingereza ambayo watu wanapenda kuyatumia sana ktk maongezi yao mbalimbali iwe Ofisini au...
Tumsaidie huyu dada nimekuta ombi lake whatsapp.
Tafadhali click link hii hapa chini itakupeleka kwenye Insta yake na utalike hiyo picha. Ambayo inashiriki mashindano fulani hivi utaona. Cha...
Guess what!!!!!!!!!!!!!!?
Nimemiss zile siku naamka asubuhi natoka nje naanza kukamua maziwa then mida ya saa mbili napata ugali mkubwa na maziwa yaliyopekechwa "masuke" kwa kisukuma.Kisha...
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri...
Unafiki ni sanaa muhimu sana katika maisha, rafiki yangu aliwahi kuniambia MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI, nilimuona mjinga na mshamba na limbukeni mkubwa. Ila kwa sasa nimerealize kweli maisha bila...
Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.
Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga...
Yani ukigombana na mwanamke
Ooh! Mwanaume hata umpe nini hatosheki.
Ooh! Mwanaume hata umpe nini atakucheat tu.
Hiyo nini ni nini? Hiyo nini inakaa wapi? Na kwa nini ni hiyo nini isiwe kitu...