Ombi kwenu wadada wa humu jf
Kuweni wachangamfu majukwaani huko mkijiachia(sio sanaaaa)
Fungueni pm zenu Ili kuimarisha mizizi ya ujiran mwema si mjua Tenaπππππππ
Muwe munapost hata tupost twa...
Wakuu Kama unaumwa mafua njoo tueleze hapa kwenye huu Uzi.me leo nimeamka na mafua kishenzi mafua Kama yote vile.mnaotaka picha subirini niwaekee picha zake muone
Wakuu habari za asubui,naona weekend imeanza,nisiwachoshe asee, hivi kwanini/binadamu sana sana ngozi nyeusi hatupendani asee, hasa ma ofisini?
Alafu roho mbayaa , kukinga kila mwezako anacho...
Ingukuwa hivi kama Dunia ingeongozwa na wanawake kusingekuwa na Vita, ungesikia Marekani haongei na Urusi, Mara Rwanda yainunia Burundi, Boko Haram wawapelekea Umbea alshabab, Ethiopia yasusia...
Nawakumbusha, Any AFCON GAME INAANZA SAA TANO, inaisha saa nane..USILIPIE KEBO NYUMBANI, kama umelipia tempa some switch isifanye kazi, GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wakuu mambo niaje!!ebana leo nimekumbuka matukio ambayo niliyafanya udogoni au niliyaona ambayo kwa kiasi flani hayajafutika katika kichwa changu.
Niaze na hi, kitambo sana nazani niko standard...
Hivi huwa unajisikiaje kuona rafiki yako anatumia mate kuhesabu pesa....
lakini wewe unatumia kama kilainishi[emoji51]
Ila sio mbaya ni vile hiyo pesa ya kuhesabu sina..
Mie nimewaza tu mniache...
Habar zenu wakuu
Daah hii ni hatari kwa kweli
Ni hivi leo ni siku ya pili nipo mkoa flani kikazi
Nimefikia lodge moja kwa ajili ya mapumziko ila kilichonifanya niandike huu uzi hapa ni hiki...
Aisee leo wakati nipo mitaa flani nikakuta mmama anamnunulia mwanae viatu vya shule ambavyo dogo alikuwa analalamika balaa hajavipendaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikasema kumbe wamama...
Aman iwe juu yenu wapendwa
Iv ushawahi kujiuliza itakuwaje siku ukitokewa na malaika mweus tu kama wewe utakubali au utakataa
Watu wengi tunajua malaika ni mzungu mweupe na shetan ni mweusi...