JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara: Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa Mshana Jr britanicca Zero IQ Bujibuji Matola Salary Slip GENTAMYCINE Sky...
12 Reactions
92 Replies
6K Views
Hebu ona hii video hapa[emoji16][emoji16] kina dada mnabuni mitego mipya kila siku....
0 Reactions
88 Replies
4K Views
Habari za ijumaa mabibi na mabwana? Lengo kuu la hii mada ni kutaka kuwajua baadhi ya watu ambao siwafahamu nasikia sikia tu majina yao yakitajwa lakini siwafahamu hata jinsia zao Wafuatao ndio...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza; Hivi hapa nchini mpira wa kuwania kombe la Mataifa huru ya Africa ni King'amzi kipi kitakacho kuwa kinaonyesha channel za mpira ? Mimi natumia Dstv na StarTimes sasa nataka...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
WASICHANA WAKICHAT MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear MDADA2; poa lov, nimekumiss pia Niliiona pc ulopost fb its so cute MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji...
2 Reactions
122 Replies
9K Views
Habari wakuu, Nilitangaza uchumba kanisan na binti mmoja Iko hivi niliambiwa huyu binti ni nesi yupo (mikoa fulani), nikavutiwa nae nakam-approach na bahati nzuri akanielewa nikawa nimemtafuta...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Kudanganya au kusema uongo ni kitu cha kawaida sana kwa jamii zetu. Wengine imekua ndio maisha yao. Lakini kuna uongo mwingine ukiusikia lazima uzimie[emoji1787] Kuna watu utadhani wana vipaji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wasaa wakuu mbalimbali. Nimekuwa mtu wa kupenda adventure sana katika maisha yangu. Kujifunza vitu vipya na ku socialize sana. Lakini kubwa zaidi napenda sana ku take risk na...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna hela naiskilizia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kifupi waliobadilisha jinsia kuwa za kike wanataka haki ya kutumia kutumia vyoo vya kike Wenyendoa za jinsia moja wanalalamika kunyanyaswa na muoka mikate Wasio na dini wanafundisha yao...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Mnapokuwa watoto huwa mnajikuta mnacheza michezo hatari sana bila kujua wengine huishia hata kupatwa na mauti lakini mimi Aisee sitasahau siku ambayo tulikuwa tunacheza ule mchezo wa kushikana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Embu tushauriane jameni. Vp tutaendelea kutokuchepuka.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ladies and Gentlemen salaam! JF ni jukwaa linalotuunganisha watu mbali mbali ambao kimsingi kila mmoja ana sifa zake za kipekee katika uchangiaji, mwonekano wa kitaswira na pia katika...
8 Reactions
74 Replies
4K Views
Naanza na mimi kioo na faizafoxy,bujibuji..
5 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Naombeni msaada nimenunua Decoder ya FTA(free to air) nipo Ifakara moro. Nimetumia kusearch kwa Dish la Azam(ambalo pia natumia na Startime kwenye Same direction) lakini decoder...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…