JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
inabidi niende Mbeya kujiridhisha na hili.
9 Reactions
51 Replies
9K Views
Japokua nimechelewa kuwawish mababa siku yenu hii maalumu, lakin hatuna budi tutafakari hili. Mwanaume 1. Hunywi pombe. 2. Huvuti bangi. 3. Sio mwizi. 4. Huna mchepuko Alafu jumapili unasali...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Jana nilikutana na mzee wa miaka 92 akiwa mzima bukheri wa afya. Alikuwa ameongozana na binti yake wa miaka 65. Mwanzoni nilifikiri ni mke wake, ni baada ya kusikia maongezi yao mama yule...
6 Reactions
16 Replies
975 Views
Nambie facts kuhusu wanaume wa dar ulizowahi kusikia mm naanza 1.Ety hawamalizi chips sahan.......
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo hebu tuzungumze jambo moja ambalo tunaliona la kawaida lakini lina nafasi kubwa katika maisha yetu, Jambo ambalo huakisi muonekano wetu katika Jamii! Jambo lenyewe ni “ustaarabu” Ustaarabu...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Karibu tupige stories mwenzenu sina usingizi😔
0 Reactions
194 Replies
7K Views
Verse 1. When I am down and, oh my soul, so weary When troubles come and my heart burdened be Then, I am still and wait here in the silence Until you come and sit awhile with me. Chorus. You...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Wadau niko bk for the first time.Niko lodge kweli kitanda kina kava la kuzuia maji ya katerero nilifikiri ni utani,sasa wapi naweza okota mtoto nipate cha kusimulia wana kesho?
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu. Karibuni
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Oyaaa wanaume wenzangu eeehh. Naomba mnijulishe makubaliano ya kikao cha mwisho kilichofanyika, mimi niliomba ruhusa kwa Mwenyekiti kutokana na kubanwa na majukumu. Mimi huwa nahudhuria vikao...
1 Reactions
4 Replies
679 Views
Naomba msinione mshamba na kunicheka, nipeni uelewa tu, tupieni na vipicha vya bandari yetu
0 Reactions
4 Replies
676 Views
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha? Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo Nimejaribu kuacha kwa mbinu...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Andika kama mtu Wa chumba cha jirani ninapopanga abaye huwa ananionea wivu!!! Andika hapa Chini tusogeze siku.
5 Reactions
31 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1595419/
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wangapi Hadi leo bado mna tamani kuiangalia ile filamu ya "Best of the best" au "andhaa kanoon" au "JanDushman" au "Hard way" au "No retreat No surrender"
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kama haya maneno nikweli mmmh!!kunawatu watakuwa na team mbinguni
1 Reactions
8 Replies
883 Views
Kuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu...
5 Reactions
214 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…