Mpaka naandika uzi huu nimeacha fan langu ndani likipuliza hewa ya ukaa,,, Moto si mchezo nje jua la utosi ndani kaa la moto... Jumapili ya leo kwangu imekuwa ya tofauti sana kwamaana imenilazimu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habal kinavyo jieleza hapo juu
Uz huu ni maalum kwa ajili ya kutakiana asubuh njema na kupiga mastory ya asubuh asubuh
Pia ni maalum kwa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu
Leo ni ijumaa wekend tulivu kabisa ambayo tuna enda kupiga show ya kufa mtu show ya nguvu ya kukata na shoka...
Habarini. Katika kila sehemu hapakosi wakimya, waongeaji sana na walio kati yao n.k.
Ingawa kuna wengine humu huwa kuanzisha uzi ni kawaida mara kwa mara. Ila wengine wanapenda kusoma sana kuliko...
Salaam wakuu,
Leo nataka tutengeneze hadithi ambayo kila comment itakua ni mwendelezo wake lakini tutastick na mahadhi (genre) ya hadithi hii.
Naanza:
ilikua ni siku ya mvua isiyokatika na...
Be happy!
Today is the day you were brought into this world to be a blessing and inspiration to the people around you!
You are a wonderful person.
May you be given more birthdays to fulfill...
Ukweli mchungu Ila ndio ukweli huo km umezoea kutumia jf auna tofaut na teja maana kila siku,Saa mda wote unapokamata simu unataka ujue kuna nini? Jukwaani,Imefikia stage mpaka mitandao mingine ya...
Kuna Jamaa Yangu Ana ndoto Ya Kwenda Brazil Anaomba Kufahamu Nauli Ya Ndege Kwenda Na Kurudi. Gharama Za Visa Zipoje Na Gharama Za Vyumba Inakuwaje,
Nadhani Kuna Watanzania Wapo Humu Walisha Fika Huko
Swalamaaaah!!!!!!???
Leo Bujibuji ninakuja kivingine kama babu Ambilikilę Mwasapile alivyotoka na kikombe cha jero hadi kuwa billionea akiwa na zaidi ya miaka 75, usikate tamaa hata wewe utatusua...
A New Metal has been added to Chemistry
Name: Woman
Symbol: Wm
Atomic mass: Light when first found... tends to get heavier with time.
PHYSICAL PROPERTIES
- Boils at any time
- Can freeze at...
Wakuu JF,
Habari za masiku mabibi na mabwana, kwanza kabisa niwashukuru mashabiki wangu ambao mnaniunga mkono katika kuelimishana, kuburudishana na mwisho wa siku, life linasonga. Katika hati...
Aman iwe juu yenu
Siku yangu ya kusherekea kuzaliwa kwangu ukiniletea mambo ya dar ya kumwagiana matope nakuchapa lisasi habari yako inaishia hapo
Nimeongea hivyo coz imekaribia na Mimi ni mtu...
Wana jf tutiririke hapa vipaji vyetu hapa. chochote kile.
Ili kwa wale wa kusaidiana basi wasaidiane.
Naanza Mimi
Mimi ni dj,
Producer (japo nimeacha)
Extender.
Football player (hapa...