Haijalishi ni msomi au siyo,awe shehe au mchungaji,tajiri au masikini,mkatikumeni au mlokole!![emoji16][emoji16]haijalishi kabisa.
Ni lazima anaangukia hapa
A_Ushirikina,mahirizi na matunguli au...
Wanasema umuhimu wa kuku huonekana sikukuu ikikaribia, na ndege huhisi upweke awapo mbali na mwenza wake pengine hata kiota huonekana ukumbi mkubwa akatamani kukaa tu juu ya tawi akiangaza huku na...
Asante Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine,
Asante kwa kila kitu katika maisha yangu, furaha, huzuni, majuto, maumivu, afya njema, ugonjwa n.k, naamini kila ninalokutana nalo kwenye safari hii...
Wanaume wenzangu embu tuulizane kiutu uzima ..wale watoto wa chini ya miaka 18 mkae pembeni kidogo, wakubwa zenu tuongee..
Okey wanaume wenzangu hivi pesa zipo wapi, wengine wanazipata wapi...
Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach...
Kama umemaliza Standard seven kabla ya mwaka 1990. Je, kuna ambao wamefaulu kuwa na whatsapp group?
Na je, likishakuwepo kuna stori gani huko.
Je, mnafanana kwa stori?
Je, group linadumu?
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 nikiwa natumia ID flani maarufu baadae nikaiacha,
Nilipojiunha JF
1. Nilidhani kila anayetumia jina la mwanamke ni demu kweli, na wengine niliwaibukia nkidhani naweza...
Najua wengi wamepitia secondary Kw namna moja ama nyingine umepitia au umefanya mambo.ambayo.ukikumbuka Huw unacheka au unasikitika
Tulikua tunapigwa sana shule haswa kuchelewa assembly au kuingia...
This is your LIFE. Do what you LOVE, and do it OFTEN.
If you don’t like something, change it. If you don’t like your job, quit. If you don’t have enough time, stop using cell phone. If you are...
Habar wakuu
Nimewaza kwny ili katazo nmeona serikali haikufikilia ki2 kimoja wanapokataza mifuko hii nalo n
Wanatusaidiaje 2naovalia Rambo suluar maana bila lambo utaishia kuchana suluar👌👌
Guys
Am humbled nimeongeza digits za umri wangu muda mchache uliopita. Message ya "wife" ndo imenikumbusha kama leo ni birthday yangu.
Message imenipa faraja sana kutokana na ukweli kwamba...
Jana usiku nilitumiwa hii sms ya mafua..,ilkuwa hivi
mabo vp dugu yangu
mziba? Bwada nasubuliwa da bafua mpaka dashindwa kuatika beseji.Di hayo dugu yangu.Diobeeni dipode.
usiku bweba..
1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga...
Kuna movie inaitwa "wahuni wakubwa"
Baadhi ya wahusika:
-One The incredible
-Mapacha wa Blac
-Makamua
-Beberu
-Makanta Crew
Nawengine sikumbuki majina yao.
Bonge moja la movie mwanangu tambaa...