JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Matajiri wasinge kufa wala kuzeeka wala kuugua. Ninamfikiria Steve Job wa Apple 🍏 ameondoka na dream zake Some of his quotes “I want to put a ding in the universe “. “Design is not how it looks...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa...
7 Reactions
220 Replies
13K Views
Jamani washikaji nina swali nataka niulize humu Jamii forum, eti Umetoka kwenye mizunguko yako ya kila siku ya kutafuta mkate , wakati uko njiani kurudi maskani , unakutana na tukio la ajabu...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Vijana watatu wasomi wa Chuo Kikuu kimoja walitoroka mtihani kwa sababu hawakujiandaa. Wakaja na mkakati wa namna ya kumdanganya Mhadhiri; hivyo wakakubaliana wajichafue kwa kujipaka Oili chafu...
1 Reactions
6 Replies
803 Views
Mwenye akojuu ya post yako unamdai na ako mbali weka digits zako na ungojee pesaaaa 07.........? Ngoja atatuma.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tutaniane kidogo andika utani wowote atakae kujibu mtaniane zaidi naanza meme .macho kama tochi.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
18 Reactions
69 Replies
7K Views
Mie naanza Kisigino.....
0 Reactions
76 Replies
8K Views
“Most of the Enemies you have are people you once helped in life “ “ Wengi wa Maadui zako ni wale Watu ambao ulishawahi Kuwasaidia Kimaisha “ Ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE nasemaje kwa hii ‘ Kitu...
0 Reactions
5 Replies
700 Views
Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, nielekee moja kwa moja kama kchwa cha habari kinavoelekeza, na imani miongoni mwetu n watumiaji wazuri wa daladala, komenti kwa kutaja/kutoa kauli ulizowahi kuzisikia...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu kifo kwa sasa kipo nje nje watu wamekuwa wakaidi halafu Mambo yanatisha Hali Ni tete.kila mtu na time yake.hatari sana yaani Mambo yamekuwa conk.kupotea Ni dakika sifuri kufa kupo tu ndani...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
#mtazamo... * Kumnunulia demu wako simu [emoji338][emoji338][emoji338] halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha [emoji389][emoji389] huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU. Kumlipia demu wako ada ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani vijana wengi wanavuta bange balaa. Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha? Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunao kunywa hizo pombe nimegundua akili zetu ni kubwa na uwezo wetu wakuchanganua mambo ni mkubwa na tukimshahuri mtu tunampa ushahuri makinikia tofauti na wale wanao kunywa bia zinazoitwa lite..
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mzuqa! Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…