JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ina ukweli kwa asilimia ngapi
1 Reactions
6 Replies
2K Views
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
1 Reactions
14 Replies
946 Views
Asalaaam. Wanawake na wanaume wanaotaka kujibu.[wanaowaelewa] Najua mnashughuli nyingi mpo busy ila tunahitaji ufafanuzi hapa tafadhali kisha mtaendelea na majukumu. Hivi mnaposema mnahitaji...
6 Reactions
146 Replies
6K Views
Kuanzia saa 5 asubuhi leo April 24, 2019 (kwa majira ya Afrika Mashariki), ndege John naweza kutoweka hewani kwa siku kadhaa Nitakuwa nikionekana Mara chache mpaka siku saba zitakapotimia kwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi. Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Recently kumekua na kajitabia cha watu kuleta thread zenye hoja laini au vituko tu! Naamini pia bado kuna nyuzi ambazo ni Nondo bado zipo.... Basi kwa kutambua hilo,kwa sababu sio rahisi kuweza...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
*Maisha baada ya kufumaniwa na kusamehewa ni magumu sana huwezi hata omba style mpya utasikia hii ndo uliyokuwa unafanya na huyo mpumbavu mwenzako*[emoji12]🤪🤣🤣🤣
8 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Zenu Wakuu Leo ni Siku yangu ya Kuzaliwa Namshukuru Sana Mungu Kunipa Uzima Mpaka Leo Toka Nimejiunga Humu nina Miaka 8 Nilichopendea Humu Kila Mtu ni Mkuu Awe Wa Kike Au Wa Kiume Pia Watu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna zawadi zinatoka za vocha kwa atakayepatia majibu ya maswali yangu.serious nakutumia zawadi PM ukipatia jibu wa kwanza.zawadi natoa Leo na kesho kwa hiyo usicheze mbali na ukurasa wangu wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Karibuni tuunde chama cha kutetea haki za wapika chai na kahawa jf. Uzi umekamilika.
0 Reactions
1 Replies
654 Views
EE MORA TUNUSURU NA MPIKA BIRIANI Malenga najikongoja, hadi juu ya jukwaa, Nina ujumbe mmoja, ufike kwenye mitaa, Ni ujumbe wenye haja, mantiki yameujaa Ewe mola tunusuru, na mpika biriani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi vijana wenzangu, Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali.. * Uliijuaje JF ukiwa na umri mdogo kama huu maana member wengi wa...
13 Reactions
244 Replies
15K Views
Waswahili tunaamini kuwa mvua ni Baraka hasa ikinyesha taratibutaratibu kama hii ya Leo Dar.Daah! Nimenyeshewa tangu nilipotoka tu mlango wa Kanisa Pale Kinondoni had Home.kama Kuna watu watatoka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na majukum ya kitaifa watanzania kwa masikitiko makubwa wiki hii imekuwa ni wiki mbaya sana hili lipo wazi baada ya taarifa ya CAG kuwa tabled bungeni na Assad kuelezea mambo jinsi yalivo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Unalikumbuka hili pambio? "Zilieatokeeni (pa pa pa[emoji122] ),zilizogawanyika (makofi tena) kama ndimi za moto,zilizojawa roro mtakatifuuuuuuuuuuu Chorus Zilitiririkaaaaaaa...
16 Reactions
145 Replies
14K Views
Woyoooooooooo Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line? Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na...
21 Reactions
122 Replies
8K Views
Happy easter wanabodi naona mashamlashamla kila kona hadi kwa wapenzi pia. Kwa wale wenye bebz zao leo wanatusumbua sana sio kwa daladala, sokoni ni kero tupu simu znapigwa jaman. Kwa wale ambao...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu haya maisha bila kushikwa mkono na mtu akuchomeke kwenye system fulani ya mzunguko wa hela kwa kweli inakuwa ngumu Sana kuzikamata.ukisema ukomae Sana kivyako vyako utapata taabu sana...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sikukuu njema mdau wa jf. Ni watu wachache sana miongoni mwetu tunaoweza kuishi tukiwa pekee pamoja na kuwa ni watu tunaopenda kukaa peke yatu na kupenda hali hiyo. Kiukweli tuliumbwa kwa ajili...
2 Reactions
7 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…