Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'
1. Mwanaume kupaka super black
2. Mwanaume kuchora tattoo
3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako...
Wapendwa hongera kwa juma la pasaka.
Kweli dunia inabadilika kwa kasi kubwa.
Miaka 10 iliyo pita tulizoea kutumiana kadi za Eid, Easter, Xmas no.
Tulinunua kadi kwenye stationary na kutuma kwa...
Heri ya Pasaka ndg zangu wana JF
Bila shaka wote ni miongoni mwa watu tunaotumia sana mitandao ya kijamii kuwasiliana
Mitandao hii inachangamoto lukuki, mitandao hii imevunja mahusiano (ndoa za...
Kama desturi yetu ilivyo watanzania zinapokaribia sikuku au kipindi cha sikuku hakiwezi kupita bila kupigwa mzinga tuu
Kwa upande wako hebu tuambie ni mzinga wa aina gani uliopigwa sikuku ya leo...
Enyi nduguzangu, natumai mu wazima kabisa waafya,
Kwakweli nduguzanguni wale ambao hatuna hata wakutualika ili tupate kushiriki furaha ya sikukuu ya pasaka tukutane hapa ili tuweze kujua lipi...
Nikiwa mdogo nilikuwa nasikia raha kujilamba Kamasi, hadi Mama alikuwa ananigombeza. Weeee mtoto acha uchafu, Kwanini unalamba makamasi???. Basi taratibuuuu na nyanyua t-shirt au shati langu...
Mwanaume ambaye anashindilia kweli kweli na anatekeleza vyema Tendo zima la Ngono na anamfikisha Kileleni kabisa Mwenza wake basi ni lazima tu iwe isiwe kuna muda ' Atajamba ' tu japo huo ' Ushuzi...
Nimesoma uzi wa uyu mtu kuwa kuna video yake ya uchi lakini wana jamii forum wamegoma kuituma ata kushare link.
Naomba kujua anajishugulisha na shughuli gani pamoja na username yake ya Instagram
Siku hizi nyumba ni sehemu ya fashion kama tu nguo. Tupia na wewe. huwa naota hii. Chini Kulia living room, kushoto study, Dining, jiko na 1bdr. juu 3bdrm. Sijui milioni ngapi.
Kama upon maneno ya Karibuni na hii night club njoo tuonane hapa the great park Leo natAka kuona jinsia pombe Zina ponza me watu.Q1q uzuri signa dozi ya kunywa Mdogomdogo mpka kreti libaki empty...
Kun ei sitä jakonappia tässäkään>>> "Matti Luostarinen
14. marraskuuta kello 0:35 · DK shika
"Uutta Haavikon ilmaisutavassa on, että runoilla on vain harvoin "sanottavaa", jonka voi käsittein...
Habari za jumatatu wanajamvi.
Kuna huu utapeli unaoendelea sasa hivi mitandaoni watu kuibiwa pesa. nimeshuhudia watu watatu mpaka sasa wamelizwa hela za maana.
wakwanza ni rafiki yangu aliombwa...
...tukutane hapa ....!!
Mimi ninachokumbuka nilifanya ujinga flani nilimkosea mzigua nikapigwa ban moja makini sana ,
Sikuzijua vyema taratibu za humu na mchecheto wakipumbavu kidogo ko...
Uzima upo wakuu??
Uzi huu ni wa kushea experience yako ulipokuwa shule hasa ugomvi na walimu au wanafunzi wenzako.
Binafsi Mimi shule ya msingi mwalimu mmoja alikuwa wa hisabati.yeye nilimkutaga...