Leo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule...
Story iko hivi.
Nimewahi kuwa na mahusiano na dada mmoja hivi sasa huyo dada alikua na tatizo moja yeye hajuagi neno msamaha yani kutamka hilo neno ni kwa mbinde sana.
Alikua na tabia ya...
Shukrani za kwanza zimuendee Nyani Ngabu The Don! kwa kuitikia wito wa mahojiano haya ambayo yatakuwa yanahusisha
vitu vingi sana
ikiwemo MAPENZI &MAHUSIANO, MARAFIKI, UTAJIRI&MALI, FURAHA...
ninahutaji kijana wa kuniuzia cookies stand ya mabasi ya MUHEZA TANGA, cookies pakiti 1 nauza sh.1000 atakuwa anawatembezea wasafir!!! mshahara maelewano ila tu auze pakti zisizopungua 16 kwa...
Leo ni siku maalum kwangu, ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwangu.
Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu.
Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara...
Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..
Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu...
Leo kuna binti wa jirani yangu kauliza swali fikirishi, mimi na dada yake tumemjibu juujuu ila baada ya kufikiria nikasema huwenda sivyo ilivyo. Ilikuwa hivi:
Mimi: (Baaada ya kumuona kwenye...
Mimi ni kijana mgeni hapa mtaani.Jana nikiwa nimekaa napiga story na mangi,mara ghafla akaja demu mmoja mzuri kweli kweli.Umbo namba nane,miguu ya bia, kisura cha kitoto kilichopambwa na vishimo...
In a nursery school a little gal asked da teacher,
gal: can my mum get pregnant?
Teacher: how old is ur mum?
Girl: forty
Teacher: oh yes she can get pregnant.
Gal: so wat of me?
Teacher: how...
Wakuu nipo hospitali nimetoka reception kuregister nikaambiwa nenda kwa DOCTOR, sasa niingie wapi kati ya hizi sehemu mbili? Nitashukuru kwa msaada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuja na ile list ya watu peace humu ndani japo walikuwa wachache.
Sasa hii ni list ya wana jf namna wanavyovaa na mitindo wanayoipenda..
Magonjwa mtambuka -huyu ni mtu wa age kama 40...
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wale Mangosha...
Habari ya jioni wana jamvi, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, tatizo kuna mabroo wangu toka niko primary nilikua nawasalim shkamoo lakin sasa nikiwasalim wanajibu tu mamb vip dogo, hata...