Nawatakia juma pili njema.
Wakristo wenzangu Bwana Yesu asifiwe..
Naomba kwa yeyote anaejua maana ya neno "Isale" kwa kirefu na hutumika vipi?, atuambie.
Natanguliza Shukrani, Asanteni.
Sent...
Sisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu....
Wote wana pesa,
Wote wana magari,
Wote wana elimu kuanzia degree,
Wote wamejenga,
Wote wanajua kuvaa,
Wote wazuri....
Ila sasa mie...
Kuna kamsemo kanasema kujamba ni kupumua,
Je ulishawahi kujamba au kujambiwa kwenye daladala? Vipi ilikuaje.
Note
Wenye private car na watoto wa kishua ambao hamjawai kupanda dala dala huu uzi...
Kuvaa miwani tunajua kuwa huenda una matatizo serious ya macho na sio urembo kwa baadhi ya watu wangine wafanyavyo
Lakini kuna kajitabia kanakofanywa na wavaa miwani kwa kweli kanakera sana...
kama kichwa kinavojieleza apo juu mim ni muhehe sifa yetu tunaambiwaga tuna kula madogi ila mimi sijawah kula aiseee.
sifa ya pili ni kwamba hatunaga shida pindi tunapokuwa tunashida tunajifanyaga...
Hivi hapa kwetu itakuja kutokea hili likawezekana pia?...huko nasoma wanageuza magereza kuwa makazi...
https://www.weforum.org/agenda/2018/02/netherlands-prisons-now-homes-for-refugees/
Sent...
Wanazengo Leo najisikia tu kuchat na nyie humu , niulizeni maswali yote Ila mambo ya jinsia niachieni mwenyewe, nambie tu kipi unakipenda kutoka kwangu? Na thread gan ambayo uliipenda kutoka...
Hawa mama zangu Wana maajabu Sana kila siku wananishangaza jinsi wanavyonogesha jukwaa nawapenda toka niwajue hawajaniangusha labda kidogo Lara ndo kafulia sema sio kesi karucee Bado mpya na wa...
Huyu Magufuli kakaa miaka kibao Dar na haitwi Mwanaume wa Dar.....
Wasira kakaa miaka kibao Dar haitwi Mwanaume wa Dar..
Mwanaume anapewa hati ya ukaazi baada ya muda gani wa kukaa Dar?
Kwema wakuu
Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..
Nikaamia kwenye nyagi nako ni...
Habari zenu wadau wa JF, siku zote nimekua najiuliza Sana hili suala la imani za ushirikina/ uchawi. Kiukweli nabaki njia panda pale ninaposikia wachawi wanauwezo wa kuingia ndani ya nyumba...
Nimenunua frig jipya lkn wakat wa kulishusha kuliingiza ndan jiran yangu alikuwa hayupo hebu niambieni nifanye nini ili ajue km nna frig ndan [emoji855][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent...
Mara ya Mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 2015.
Jana Nlialikwa ktk kasherehe fulani hivi hapa Rocky City au Wenyewe hupaita Mwanza Mwanza au kwa kina Ngosha,
Story za hapa na pale mara meza...
Moja ya dhima kuu alizofanikiwa kuzionyesha katika jamii ya watanzania ni
1. Nafasi ya mwanaume katika jamii:
Kukosa msimamo
Usaliti na uongo
2:
3:
4:
5:
Malizia zangu ni hizo sijui ww ni zipi...
katoto kazuri nimekuja Pm yako na kumwaga yale yangu ya moyoni lakini bado mtoto unashindwa kunielewa,
Zero IQ mimi muuza Kiepe nimekupenda kwa kweli, na sijui ata kwa nini ila imetokea tu...