JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mie nakerwa sana na wanaume wanaojichuna ngozi. Unamkuta kawa mweupe ghafla na ngozi lainiiii.... Ngozi ya mwanaume iwe ngumu na natural bwana. Mwenzenu nawaonaga hawa kama sio rizki yani. Sent...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Some of Kibiti people die a lot by- watu wengi walikufa kibiti by Tundu lisu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za Jpili wana Jukwaa Nimerudi nyumbani after church nikawa nafanya mambo wawili matatu kwa ajili ya mchana huu. Mara jirani akagonga mlango, nikafungua. Tukasalimiana vizuri. Alikuwa na...
21 Reactions
49 Replies
7K Views
Tezi dume inasababishwa na nini? Je inatibika? Kama inatibika, je inatibika kwa dawa ya kupaka? Ni ipi hospitali inatibu na mwenye kumjua dr bingwa au mzoefu tafadhali. Natanguliza shukran...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Za jioni wadau wa hapa. Leo nimemsindikiza rafiki yangu kuja kujitambulisha kwa mara ya kwanza. Kwa lengo la kutaka kuoa. Hivyo kwa vile tulikuwa wachache na mimi huwa sipendi kuvua viatu mara...
0 Reactions
8 Replies
884 Views
Habari wana jukwaa, Ni mara nyingi sana nimekuwa nikishuhudia watu wengi kukuta wameagiza bia za chupa ndogo... Mwanzon nilikuwa nimejiuliza labda yaweza kuwa ni bei, lkn kwasasa unakuta bei za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
_When the baboons and monkeys heard that the man who used to chase them away from the maize field had died.....they hysterically celebrated...... The following year there was no maize.....that's...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Haka kakitu nasikia sasa ndo habari ya mjini kwenu kina mama. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hodiiiiii natafuta dem Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpe ushauri mtu anaeanza mahusiano ya kimapenzi na Ex wako muda huu. Nini afanye? Tahadhari gani achukue Kwa upande wangu namtahadharisha jamaa awe anaficha wallet yake mda wote.....
6 Reactions
79 Replies
4K Views
Bonge la story bonge la motivation and insiparation, walio isoma hii hadithi watakubaliana na mimi. Ni mtu aliyetoka maisha ya chini sana familia masikini sana, mambo ya vibarua vya kulima, kuuza...
1 Reactions
12 Replies
12K Views
Here and there in your everyday life , you might have come across the following life experiences. 1. Your appearance & looks matter a lot 2. At one point in marriage you'll be tired of your...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Wana jf wengine wameacha kutumia fb ila kiukweli Ni mtandao pekee ambao ni rahisi Sana kumpata rafiki wa zamani ambaye huna mawasiliano yake ya simu.mtu nilisoma naye 1999 huko na alikuwa Ni best...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
hizi ndo zama demu akipata bwana anahisi kapata ajira Ongeza ya kwako kuhusu hizi Zama
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Ili iwe rahisi kuheshimiana zaidi maana hapa jf nidhamu hamna kabisa,unaweza ukatukanana na baba mtu mzima au Babu yako.kwa hivyo napendekeza tujibu hili swali Ni kwa Nia Njema na Ni kwa hisani ya...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Kugombania magari ya mwisho wa jiji apa dar (Mbagala, Bunju, Gongo la Mboto na Mbezi) inatakiwa iingie kwenye Episode ya 1000 WAYS TO DIE [emoji30], Pia itumike kama CV ya kuomba nafasi jeshini...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
TUKIO LA KWELI KATIKA MAISHA HALISI. Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Pendekeza ID ya member mmoja wa kike ili awepo kwenye JF hard talk ya leo. Cc zero IQ. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
233 Replies
8K Views
Habari wanajamvi? Nimevutiwa sana na utendaji na umakini wa wafanyakazi wa JF, kama kuna mfanyakazi wowote aidha invisible, mods, admin nk wakike ambaye yupo singo anitafute PM' Kwani hawa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wakuu poleni na majukumu, kama kichwa cha habari hapo juu naombeni msaada wenu kwa wale wenye moyo wa ubinadamu na huruma nahitaji msaada wa mchango wenu ili niweze kukamilisha kibanda...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…