JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kufananisha sio tu sura bhna. Kuna ule msemo Ukiona njugu unadhani ni njege na ukiona njege unadhani ni njugu, humu ndani kwa baadhi ya member unajidhihirisha. Humu kuna members huwa wanafanana...
16 Reactions
266 Replies
13K Views
Wale wa kibaha nadhani mnajua kila jumamosi ni siku ya kula nyama choma hapa machinjioni. Nahitaji mdada aje muda huu hapa machinjioni tuke tule nyama, tupige story kadhaa, na tufurahi pamoja...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Hebu tujuzane Unajuaje kama una akili au Huna akili Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi. Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Mwifwa kama guest,uliza swali...
6 Reactions
188 Replies
10K Views
DOGO: Eti baba mtu stupid yuko je? DADDY: Hilo ni swali zuri sana, a very good kweshen kwa kweli I am praud of you, you see mwanangu, mtu stupid ni yule ambaye akiulizwa just a simpo kweshen...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Hapa mtaani Kuna Jamaa Kwa muonekano ni mtu wa makamo umri umeenda Jinsi Jamii inavyomtreat ni tofauti Sana kulinganisha na umri wake inahudhunisha kuona mtu mzima anadharaulika hii yote ni sababu...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
MAMBO KUMI(10 ) NILIYOJIFUNZA JANUARY[emoji1607][emoji1607][emoji1607] 1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa. [emoji849][emoji856][emoji43] 2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
_*Muokota makopo katika uokotaji wake wa makopo akaona chupa ambayo ndani kuna ki2, alipoifungua likatoka jitu la ajabu. Huku akitetemeka lile jitu likamwambia kijana asante sana kwa kuniokoa omba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
HahahahahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜uwiiiiii!!!! Heheheheheeeeeee!!!huhuhuhuhu!!
0 Reactions
24 Replies
3K Views
*February bwana...Eti Tayari ishakuwa Weekend*[emoji39][emoji95][emoji95]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila mtu ana zake kulingana na watu anaowasiliana nao ,wengi huwa tunaziiba kwa wengine au kwenye makundi nia ni aidha kumfikishia dongo mtu au tu kufurahisha wanaotembelea status yako tuanze na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina miaka 27 toka nihamie Dar kutoka mkoani. Wanawake wa mikoani hususani kanda ya ziwa wana adabu sana. Ukikutana naye njiani lazima akupishe. Tofauti na wanawake wa Dar hawakupishi. Ukitembea...
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
18 Reactions
309 Replies
12K Views
Salute Bosses.. Naandika uzi huu nikicheki wimbo wa Runtown Ft Nasty C _ Saif. On Wasafi TV. Toka nianze kuwafatilia hawa wasanii wawili Runtown from Nigeria na Jux from Tzania hawajawahi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilipanga niwe na watoto hata wawili kabla mwaka 2018 haujaisha....lakini mwaka umeisha huku nikiwa hata mama yao sijampata
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka...
16 Reactions
153 Replies
12K Views
msanii aliyeimba simjui ila huwa anaimba dyuudyeee puruuuuru intaprentinyuaaaa oooooh froooont fediii.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hiki kisa kinaweza kuwa kinachekesha ila kina funzo ndani yake! Mama mmoja mwenye umri wa miaka 30 na watoto watano, amejikuta akitandikwa NGUMI ZA CHEMBE baada ya kumuomba mmewe yaani baba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
*Una somea Tourism halafu mwaka wa Mwisho unaenda field Serengeti unaliwa na simba halafu unakufa* Na wewe tupia yako tupenguze stress
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…