JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sigara kali huwa haijulikani nyuma wapi mbele wapi popote mtu unawasha. Sasa ndio tabia za baadhi ya watu huku kwenye haya majukwaa mawili. Unakuta mtu kaanzisha uzi anajisifia Ana maisha mazuri...
27 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari za mda huu JF Member, Nipo hapa kwa ajili ya kuuaga tu mwezi January, mwezi ambao tuliukaribisha mwaka 2019.. Mazuri,mabaya,shida,raha ila kikubwa binafsi nashukuru January umepita salama...
1 Reactions
3 Replies
757 Views
*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unaweza kushangaa lakni siku ya kwanza kula tikiti maji ilikuwa mwaka 2003. Nilikuwa napita sokoni tu ila sijui ni nini. Ni kama upite mitaa ya wahindi utakutana na mboga za majani ma matunda...
12 Reactions
84 Replies
8K Views
Kama kawaidaHapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi. Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu FaizaFoxy kama guest,uliza swali lolote...
3 Reactions
161 Replies
11K Views
Baada ya kusherekea Mwaka mpya nikiwa kwenye server ya Jf, hatimaye sasa naripoti kwenu waungwana nimefunguliwa wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Nina amani sana, nina furaha sana thanks Ban ilikuwa...
26 Reactions
372 Replies
16K Views
Niaje?? Faida za kuoa mke mzuri wa kawaida ambaye sio mzuri saana ni nyingi sana ila mimi naleta moja tu... mukizinguana na wewe unamzingua kwa sbb hujamuweka sana moyoni unatafuta goma lengine...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu bila kupoteza tym hivi wakati uko bar unapiga ulabu/vyombo kuna stage unafika unaona hapa naanza kulewa, kuna wengine wakianza muona bar maid mzuri balaa basi anajua tayari vyombo viko moto...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni neno lipi lilikuacha hoi kwenye t-shirt au shati la mtu lakin yeye ndo kwanza hana habr na neno hilo Mimi kuna jamaa alivaa t-shirt imeandikwa kiss my ass yaan yeye ndo kwanza hna time Tupia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Kufanywa mpaka achoke? 2. Kufanywa mpaka akojoe? 3. Kufanywa mpaka apoteze faham? 4. Kupewa pesa kabla ya tendo 5. Kupewa pesa baada ya tendo? 6. Yote yatimie? Maana siwaelewi hawa viumbe...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama si ushamba wangu wa kushindwa kutumia technology kama nyie akina dotcom ningeweka hiyo video yake hapa! Kwa kweli kama ukombozi wa mwanamke ndio huu basi ni shida kubwa hii. Bibie anatangaza...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
matokeo.co
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Hizi pete zinaleta bahati kweli? Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu. Kuna ukweli juu ya hili suala? Cc mshana jr
2 Reactions
10 Replies
3K Views
1. Njombe UKIMWI sio kitu cha ajabu 2. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. 3. Manyara usipoua Simba we shoga. 4. Mara mke akiwa hapigwi anaomba talaka. 5. Mwanza mtoto mchanga wa siku...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Chakula ni kipimo sahihi cha kujua ustarabu na tabia ya mtu kabisa Nenda kwenye mikusanyiko ya watu alafu kuwepo na msosi ndo utajua mfano kwenye misiba, harusini n.k Watu wanakoseana heshima na...
9 Reactions
73 Replies
9K Views
Sote tunaishi kitaa humo pia tuko na wenzetu ambao pia wanawakilisha vizuri pande hizi za jf.marafiki wa ukweli na Ni muda wa kuwapa ma shout out ya nguvu.me mwenyewe binafsi nawapa salute...
0 Reactions
478 Replies
16K Views
Yaani siku hizi mwanamke mwenye matako makubwa (wowowo)anajiamini sana kuliko yule mwenye degree..[emoji2][emoji2]
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za jumapili wakuu, leo mzee mwenzenu maji ya Gundu nimeona nitoe fursa kwa vijana kuniuliza maswali yeyote kuhusu punyeto nami nitayajibia kwa kina Karibuni kwa maswali kama unahitaji...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama wiki tatu au mwezi mwezi mmoja uliopita nilipoteza simu yangu aina ya Lenovo K5 pamoja na vitu vingine wakati nikisafili kati ya Confort hoteli maeneo ya kitonga na Igumbilo cheki pointi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwakweli kuna kero kubwa sana kwenye upande wa mtandao wa tigo, sms za kamali zimekuwa nyingi mno, yaaan sasa hivi kila baada ya dakika 15 inaingia sms ya kamali tena nyingine kampuni mpya kabisa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…