JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nafurahi hili neno siku hizi kama linapotea hivi maana linatunyima raha sana baadhi ya watu! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
*BIASHARA HURIAA* 1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi . 2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka , 3...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Baba mwenye nyumba calling📲 Baba mwenye nyumba calling📲 Baba mwenye nyumba calling📲 New number calling📲 New number calling📲 Private number calling📲 Private number calling📲 😆😆 Mimi si...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo mususu ya solo ndombolo Na bando letu la buku twaperuzi mpaka tommorrow Mambo iko huku penzi twalila kwa soro Hmmm anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda...
9 Reactions
84 Replies
7K Views
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye...
2 Reactions
232 Replies
264K Views
Just Jokes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Hello Friends in Jamiiforums, Je wapenda kujifunza kuogelea lakini hujapata kampani salama ya kukuguide ili uweze kujua kuogelea??? Nakaribisha marafiki wanaopenda kujifunza kuogelea jst for...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Ushamba mbaya sana...niliaminishwa ni ikulu.
0 Reactions
7 Replies
973 Views
Za siku wanajf, Ni mnamo 20/11/2018 majira ya 11: 26 asubuhi, siku ya jumanne nilipopata taarifa ya kufariki kwa mama yangu mzazi. Nilipata taarifa nikiwa mkoa wa simiyu wilaya ya meatu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari! Kuna huu msemo umejipatia umaarufu mitandaoni;( ninasema mitandaoni maana mimi nipo mbali na jamii). Nipo porini, kwa hiyo sijui kinachoendelea mitaani. Binafsi mimi nipo katika sekta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hapa nawapa heko. Utakutana na mdada mtakuwa na mazungumzo tu ya kawaida. Utataka umjue japo kidogo... Lahaulah ukiuliza miaka atakuambia 21 au Im turning 24 next month uso mkavu anakukazia...
14 Reactions
81 Replies
5K Views
Mara nyingi kama sio mara zote thread Yoyote Ya kichochezi na thread yoyote ya kuwahusu wanawake wenye misanga mikubwa kama Sanchi wanajopo wote wa kike kwa kiume huwa wanatoa promo ya kutosha...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Uliza chochote nitajibu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
64 Replies
4K Views
Wanandoa wawili nchini China walienda kwa doctor kupata ushauri baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 4 bila kupata mtoto Daktari baada ya uchunguzi aligundua kuwa wamekuwa wakifanya tendo la ndoa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba kama kuna yeyote ambae yupo katika moja ya shirika husika tajwa hapo juu, naomba kuunganishwa kwa ajili ya interview ili kupata kazi katika shirika lolote. Elimu yangu ni tabibu...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Kwa wapenzi wa Rap za S.A mtakubaliana nami kua huyu nigga anajua sana na hili lisauti lake.... Anajua kuitumia besi yake haswa. Siku zijazo naona hata Cassper Nyovest ataachwa mbali. Biti kali...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
. SIKU moja, Thomas Alva alirudi nyumbani na kipande cha karatasi mkononi. Akamkabidhi mama yake huku akimwambia: "Mwalimu amenipa barua hii, na kunisisitiza nimkabidhi mama yangu." Macho ya mama...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kitu ambacho nataka nikinunue kupitia kampuni Fran kutokana na bei ilio andikwa ckuweza kununua being ni $ 0.19 kwa hivo ckuweza kuelewa kwa Tzs sawa sawa na shilling ngapi. Msaada tafadhari...
0 Reactions
4 Replies
723 Views
Ebu tufanye kama tunakumbushana majona yetu ya utani tuliyopewa shule uko au mtaa wakati huo upo mtoto, Haha, nakumbuka mimi binafsi nilikuwa na majina mengi sana ya utani na ilitokana na ka...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…