Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka...
Nimehamia kijitonyama juzi jioni. Mke wangu amejifungua mwezi wa sita sasa anatakiwa kurudi kazini.
Maeneo haya ya Kijitonyama natafuta Mchawi anilelee mtoto wangu. Maana huwa nasikia wanasema...
Indian Telugu, action, comedy and Drama movie.
Mimi niseme tu, hakuna waigizaji wazur duniani kama wahindi,
Kwani wao uigiza maisha ya kwaida hasa ya majumbani na kuelezea sana jinsi ya kutoa...
Habari wakuu
Aiseeh nmekuja dar kutoka mkoani kwa likizo,ni kitambo kidogo sjafika,naona miundo mbinu ya kutosha...heko kwa baba jesca...yaan ile nmeshuka ikabidi nianze mizunguko ya mtaan kwanza...
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .
1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia...
Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake huku
akiwa hajui kama mkewe malaya,
Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuondka
mkewe akaanza kuingiza wanaume kama
kawaida
Hawara 1; Nakupenda
Mke Wa...
Habari wadangu.
Mwenzenu kuna hiki kilichonikuta kwangu Mimi nakiita kioja tena si kidogo. Labda mnisaidie elimu kidogo hapa.
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke msagaji kubadilika na kuacha kabisa...
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI
1:Visa Card
2:Driving License
3:Hela ya matumizi
WALLET YA KIJANA WA TANZANIA
1:ATM card ya NMB
2:ATM card CRDB
3:Kitambulisho cha Taifa
4:Leseni
5:Kadi ya mpiga kura...
Jamani naombeni kujua ni jina gani zuli linaweza kufaa kwa mtoto wakiume kutumia kwenye facebook litakaloweza kuwapendeza watu
Asanten...
Sent using Jamii Forums mobile app
kitu gani uliwahi kufanyiwa na mwalimu wako ambacho haikuwa haki kipindi upo shule,niliwahi kulidishwa(kukalilishwa) darasa na mwalimu kwa hila,licha yakuwa nilikuwa nimeshinda vizuri mtihani...
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh
Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP
Niombeeni wapendwa.
DA
Updates
Wapendwa nawashukuruni...
Wengine ugomvi asili yao, jogoo wangu ametaga nyumba ya jirani namwambia anipe yai la kuku wangu anasema lake kisa ametaga kwake.
Ile haki kabisa, yai ni lake au ni la kuku wangu??
#ChemshaBongo
Najua ni mwaka 11 sasa tangu tujiunge na Jamii Forum enzi hizo inaitwa Jambo forum iliyoanzishwa na vijana wawili na kubadilishwa jina baadaye na kuitwa Jamii Forum.
Najua ni mengi tumejifunza...
habarin wakuu leo nimewaza kuwaletea uzi wa tofauti ili tu refresh mind
huu uzi ni wa kuchangia tofauti na mada inayoongelewa
Mfano: arsenali alifungwa goli tano ijapokua hakupata mimba...
Ikiwa ni siku chache tu toka tuuanze mwaka wafanyakazi wa Tigo wapatao 110 wameuanza mwaka vibaya ni wale waliokuwa wanafanya kazi tigo katika ofisi iliyokuwepo Quality Center pugu road waliokuwa...
Merry Christmas.
Nina kapu la Zawadi kwa ajili ya wana Jf hawa. Kuipata inabidi kuni pm.
Bishanga Abashaija
Baba V
Chimbuvu
Nicas Mtei
cacico
Nifah
Madame B
charminglady
Watu8
Passion Lady...
Kama wewe ukiwa mtoto wa kiumeni
Asubuhi: unywe chai na maandazi mawili
Mchana: ule chips...
Usiku: unakula tambi na kulalia hizo hizo tambi, ukiulizwa madai unafanya diet
Sasa kwa hali hii si...
Naam
Tumesikia kuhusu bongo star search, shilawadu star search na nyingine nyingi ila hatukuwahi kusikia JF Star Search.
Leo tuanze kutafuta star wa JF
Ipo hivi, wewe utaandika chochote...