1.
Mshana Jr
2.
GuDume
3.
Mr Miller
4.
Hazard fc
5.
Humble African
Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za...
Nashukuru kupata fursa ya kuishi na fursa ya kupost humu...
Haya wajamen pateni fursa ya kucomment kwenye uzi wangu.
Tulio fanikiwa kuishi mpaka leo sio ujanja bali ni fursa tu aliyo tupa...
Matatizo yale yale tu madeni yale yale tu sio kusema et mwaka mpya basi maden yataisha au matatizo yataisha.... Hapa wengine ndo kwanzaaa wanawaza kodi za majumba ada za watoto hahahaha kazi...
Aman kwenu wazazi
Leo nimesikitikita sana baada ya kufanya mahesabu kuwa Nina siku ngap dunian toka nizaliwe nimeshangaa sana kukuta Nina siku elf saba tu
Nimeshangaa sana nilijua kuwa...
Sijui ni kwanini tokea mwaka 2016 hadi 2018 nimepata taabu sana kupata / kupokea ' Mialiko ' ya Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya kama miaka ya huko nyuma. Na bahati nzuri ' Mialiko ' mingi...
Ifikapo tu Saa 6 Kamili muda mfupi kutoka hivi sasa nategemea Kutoonekana tena hapa Jamvini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu hivyo GENTAMYCINE Kiungwana kabisa nimeona nichukue fursa hii...
Katika kusherehekea mwaka mpya 2019 unaoambatana na kupungua kwa siku zangu za kuwa hapa duniani napenda kudedikati wimbo ulioimbwa na Kisaki Selemani uitwao 'shuhuda'.
Uwe maalum kwa marafiki...
Michezo na Burudani
Manara awashtaki Yanga Mamlaka ya mapato’TRA’
December 31, 2018 Chumba-cha-Habari
Msemaji wa Klabu ya Simba, ambao pia ni Mabingwa Watetezi, Haji Manara amehoji Mamlaka ya...
Vijana wenzangu binafsi mwaka unaisha hivyo lakini maisha kwangu ni magumu tu sana yani.
Kiukweli napambana najitahidi kubana matumizi lakini kamshahara nakopata pamoja na vipesa vidogo vidogo...
WE LIVE IN INTERESTING AND FUNNY TIMES.
1. We live in times where we see many humans, but not humanity;
2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more...
Kuna Avatar za watu humu ndani ukiziangalia unawaza hivi huyu mtu alikutwa na nini hadi akaamua kuiweka hii avatar yake.
Mimi huwa naangalia ya huyu mtu anajiita RED GIANT nabaki nacheka sana ile...
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima.
Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa (Bachelor) mpaka siku ya kufa kwake.
Mwenye...
Hapa nilipo napiga ulanzi kukaribisha mwaka mpya, mana nimekulia kijijin mm sio wa bia. Napenda ulanzi kwa sababu ni mtamu pia ni cheap halafu ni original yangu.
Watu wananiona wa hali ya juu ila...