Me Mara ya Kwanza kabisa kabla sijajiunga jf nilikuwa nikisoma Kama guest nikawa najua wote humu ndani ni wanaume nikawa nikifikiria naona Ni ngumu mwanamke awe na ID eti ya JF na hata ID Nyingine...
Kampeni ya *RUDI NYUMBANI KUMENOGA* imeshika kasi.
1. Kwenye ndege tutabaki na ATCL
2. Kwenye TV tutabaki na TBC Pekee
3. Mawasiliano tutabaki na TTCL
4. Elimu tutabaki na shule za Serikali tu
5...
..Ndugu zangu baada ya kutafakari na kujipima mimi na mai bebi Preta ni kwamba nitagombea urais km si urahisi
..timu yangu itakayonisindikiza kwenda kuchukua fomu ni. Mr Rocky.. Asprin...
Kabla hatujauanza mwaka mpya napenda tu niseme ya moyoni nyie ni miongoni mwa watu wa kipekee sana hapa Jf, mna mioyo mizuri sana,mnajali,na pia mnaujua ustaarabu na kuishi na watu vizuri...
Kati ya haya maneno unapenda uitweje na mpenzi /mme wako.
Mama
Mummy
Love
Honey
Darling
My..
Sweetie...
Mahabuba
Kipenzi
Mume wangu
Mke wangu
Baba J
Mama J
Mimi napenda kuitwa ...mkalia ini...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
Unajua ukiona Mwanaume JF jua ni mtu mwenye uwezo mpana sana.
Ofcoz wachache ndo wazinguaji ila asilimia kubwa ni Gentleman.
Hivyo, ewe dada, ukipata Dume huku au ukiona kuna dume linakuhitaji...
Huyu mdau kapigwa picha na mtu aliyeita Taxify South Africa, jamaa katokea na taulo, halaf cha ajabu anafanana mno na Besigye. Kama si yeye basi duniani wawili wawili walahi :D:D:D:D:D
sizani kama jamii folum kuna wadada chni ya miaka 21 naona ka wengi watu wazima na kama ypo basi ni Geniuz nawanyooshea kambajuane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miaka mingi imepita tangu niondolewe hili pulizo. Najiskia fahari sana kufanyiwa hii huduma bila ganzi. Niliumia ila leo najivunia.
Ilikuwa asubuhi yenye baridi kali. Kama saa kumi na mbili...
*Finally, Just about 72 hours to the end of 2018.*
To My Creator = *I say Thank You.*
To my true friends = *I appreciate you all.*
To those who showed me love = *I'm grateful.*
To those who hurt...
Nimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka...