JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani hii ni hatari sana jamaa anaendesha malori ya kwenda Kitwe Zambia kule kwa mgana ambao jana wameichapa simba .sasa huyu jamaa ameoa kule mjini tanga kule muheza katoto kazuri sana .sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimebahatika niseme hivyo kuangalia na kusikiliza interview aliyofanya Benjamin na Millard Ayo...nimesikia aibu sana..na laiti ningekua rais wa nchi hii sidhani kama ingepita siku mbili sijamuita...
1 Reactions
4 Replies
812 Views
Umeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje Ana spidi kali Hapa nkiguswa na mu naruka Na...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Aki si nimechoka yani. Mamanzi mko wapi mniwishie goodnight. Nawapenda wote.
0 Reactions
14 Replies
14K Views
1.Kwenda haja kubwa ni shilingi 500 2.Kwenda haji ndogo ni shilingi 300 3.Kuoga ni shilingi 500 4.Kwenda haja kubwa na ndogo kwa wakati mmoja ni 600 5.Kuharisha uje na maji yako mwenywe...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
j
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Haruna moshi bobani ndani ,wanayanga tujiliwaze maana kombe letu naliona linarudi jangwani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Hivi haruna moshi bobani ana umri gani wandugu zangu wa kijiwe...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Au wanamsingizia? Anajiedit mno
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimepamisi kweli moshi town.. Maeneo ya malindi karibu na voda shop ya zaman... Ukisogea mpaka karibu na kanisa la Roman Catholic (kristo mfalme) Bila kusahau club diamond Daah wachaga +wairaq...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari za usiku wakuu.. Napenda kuwajulisha ndugu zanguni wa mkoa wa Kigoma kwamba nitakua mgeni wenu mda simrefu kwa ajili ya kuja kufata mzigo wangu. Kikubwa nawaomba muje munipe ushirikiano...
5 Reactions
83 Replies
6K Views
Habari waungwana hebu tushare hili. Ulimpataje mpenzi wako wa kwanza? Ulikuwa na umri gani ? Me mpenzi wangu wa kwanza nilimpata nikiwa form one akiitwa pendo , yeye akisoma la saba...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Tamko la kuweka ndani mashoga liliwaudhi sana nchi zilizoendelea, kule tunakopeleka bakuli ili tupate chenga za kupikia uji maisha yaendelee, wana heshima sana haki za binadamu. Kitendo cha...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mfumo wa maisha ndio upo hivyo.wewe Ni Kama kifaa Fulani mfano computer ambacho kina uwezo wa ku save data zote.kwa hiyo ndio maana Kuna matukio uliyafanya zamani lakini bado yanazunguka akilini...
2 Reactions
3 Replies
506 Views
Kiukweli humu masela wana fiksi sana... yaani humu kila mdau ana gari, ana nyumba, ana kazi nzuri, mixer kidhungu anakijua.... Lakini ukweli wa maisha yao ni kituko tuu.. sasa Mimi pancho Boy...
2 Reactions
59 Replies
4K Views
Mimi nitaanza na huyu mtoto Lyn Vivac Ulijing'ata ukainama First time tunakutana / Vitisho, mikwara ya mama ulisonga hukujali ya jana / Ukanambia unaitwa L.V Ukawa mod ndani ya moyo...
14 Reactions
404 Replies
21K Views
Kama tujuavyo huu msimu unasemekana ni wawapenda-nao sasa ni member gani humu JF ungependa awe partner wako siku hiyo? Mimi namuwahi Shunie bado mapemaa
15 Reactions
1K Replies
53K Views
Yani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
4 Reactions
177 Replies
10K Views
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jioni Wakuu. Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango. Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua...
19 Reactions
303 Replies
15K Views
Wasalaam ndugu zangu wa JF. Aise ndugu zangu wa jf mwenzenu leo Mwenyezi Mungu kanijalia nimekamilisha miaka 25. Fanyeni kunitakia kila la kheri katika maisha haya. "HAPPY BIRTHDAY TO ME" king...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…