JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Vyuoni watu wanavitembeza ka wehu Hongera ima
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana JF Nipo hapa nawaza huku nakata Balimi zanngu weekend Nataka tujadili hivi ni ktu gani kinazui watu kurudi nyuma kwenye muda?
1 Reactions
8 Replies
970 Views
wakuu habari za wikiendi I hope mu wazima wa afya Niende moja Kwa moja kwene mada naombeni mbinu ya kuingia nayo chooni maana nna tumbo la kuharisha afu kuna wamama wako hapa nje wanasukana wako...
0 Reactions
10 Replies
783 Views
Unaenda *"The Kilimanjaro Hyatt Hotel"* unaona menu imeandikwa: "Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole." Price: TZS...
18 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimerudi tena katika msimu mpya Wa show kabambe ya mikabala ya kuelimisha,burudani ndio nyumbani! Mida ya jioni tutakuwa live na Davet tukisindikiza mapumziko ya mwisho Wa wiki mpola mpola...
16 Reactions
580 Replies
22K Views
shikamoo baba mkwe pole na majukumu, mimi nataka kuoa mwanao ila naomba kupunguziwa posa kwa sababu zifuatazo moja:mwanao ana zigo kubwa kwa hivyo atakua ananichosha tu tunapokua faragha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida wakazi wa rubya huko wilayani muleba wameishauri serikali kutunga sheria itakayowalazimisha madaktari kuandika matokeo ya vipimo vyao vya maradhi ya ukimwi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanangu kabatizwa leo sasa ataitwa Ben Membe naamini atalitendea haki jina hilo la kimataifa ili aje awe wa kimataifa na yeye kama mzee membe
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Kesho ni weekend... Ndio tunaelekea kuimaliza January dume... Stress zilikuwa nyingi sana.. Magomvi kwenye mahusiano hayakuwa haba.. Tumeshauriana na kupeana moyo sana.. Watu wamepata faraja na...
8 Reactions
79 Replies
9K Views
Naanza namimi MKOSI NI NINI?!! *MKOSI ni pale baba yako anafanyakazi ya bodaboda hlf ww unagoma kwenda shule eti unaumwa hlf unampigia demu wako aje home demu anaamua kuchukua boda analetwa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Shemeji yenu mjamzito nipo majaribuni huyu shemeji yenu hataki ata kuongelea habari za mapenzi. Kifupi anasema hajisiki kabisa hana hisia za kimapenzi.Mimba ina miezi sita nina miezi miwili...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
UNAAMBIWA haya ndiyo mataifa yanayoongoza kwa kuwa na wanawake wenye muonekano mzuri zaidi duniani (warembo) (10) Brazil (9 )Argentina (8 )Philippines (7 )Australia (6 ) Africa kusini (5...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Huu ni uzi maalumu wa kutakiana; Kheri Fanaka Afya njema Mafanikio Upendo Amani Furaha n.k Na kwakuwa tuko katika msimu wa sikukuu basi si vibaya tukijuzana nyimbo tam tam za wakati huu..Mimi...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
Wale mliokua mkiuliza eti KKS na KDS zitatusaidia nini huku mtaani nafikiri mmepata majibu kupitia mafao
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Yaaa.... Akchware hili jukwaa langu pendwa hili lakini nilikuwa mfupi kwalo...... Bezikale linakwenda ekselenti, hongera. Baada ya siasa hili linafata........... Nimerudi, yani nitakuwepo...
0 Reactions
4 Replies
949 Views
Habari zenu wadau wa JF. Poleni na majukumu. Niende madani. Hakuna kazi yenye ugumu na mitego mingi kama ualimu wa secondary na hata vyuo. Mimi nakumbuka enzi za secondary kwa uzuri wangu...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndugu mwana Jukwaa " Husika na habari picha "..
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kabadili ID ama kapata uteuzi!? Alikuwa very fast kujibu na kuchangia hoja kwa mantiki ,logical
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Tumsifu Yesu Kristu wanaJF! Kwa wakatoliki wenzangu kuna hawa Jamaa wanajiita Charismatic Catholics, au Karismatiki Katoliki.. hawa Jamaa wamekaa muundo fulani wa kilokole.. Hili Jambo binafsi...
7 Reactions
127 Replies
11K Views
Wimbo unakwenda kwa jina la Toto uko YouTube now
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…