JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Oooooh happy birthday To Mimi in Jamii forums nimekumbuka hapa najitoa out kidogo nimejifunza mengi mno nmefaidika sana Shukrani kwako mkuu Melo na Timu Yako Zima Natumaini nitaendelea kua...
3 Reactions
14 Replies
908 Views
Wakuu nataka kujua kwanini wahubiri wanaogopa kufundisha kitabu cha Wimbi ulio bora? 2:5 Nishibishe zabibu niburudishe kwa mapera, kwa maana nimezimia kwa mapenzi, 2:6 Mkono wake wa kushoto uko...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Salamu kibaaaaooo kama huna namba yangu vileeeeee. Mara oooh,kumbe na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Phobia ni hali ambayo kunakuwa na uoga kupita kiasi wa vitu ambavyo si hatarishi kihivyo. Tucheki baadhi ya hizo phobias. Hematophobia. Huu ni uoga wa damu. Kuna watu wakiona damu hadi huzimia...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu, Hizi emoji zione tu zikiwa ndogo, hivyo zikiwa kubwa zinatsha sana aisee. Mimi kuanzia jana kwenye simu yangu kuna emoji zimekuwa kubwa sana aiseee, sijui ndo simu inataka kuharibika au...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Kufwendaaaaa... Wakuu ni muda wetu na wakati wa kuandaa nyoyo zetu juu ya vichekesho ndani ya Maisha ya Abunuasi kuwa karibu na thred hii. HEKAYA ZA ABUNUASI. Part one 1. Abunuasi Alinunua...
18 Reactions
58 Replies
56K Views
Nani alisema Tabia haina Dawa?? Kwa Miaka kadhaa nikiwa nazungumza na watu/mtu nakuwa naongea sana.. mpaka sometimes baada ya mazungumzo kuna baadhi ya mambo naanza kujilaumu kwanini hata...
10 Reactions
20 Replies
4K Views
Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa [emoji3] mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Lawyer jokes Question: Is there any difference between a good lawyer and great lawyer? Answer: Yes. Good Lawyer knows the law very well. And a great lawyer knows the Judge!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko hapa nanunua had nmechanganyikiwa,sjui naenda hifadh wap.yaan nmenunua ma5 et.dah hiv haya si yataoza NDO UZI TAYARI HUU
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za usiku, Nisiposema hili nitalaaniwa hata, Katika makuzi yetu kwa Namna moja ama nyingine tumeweza kuwakosea wazazi wetu hasa kina mama.. Hawa mama zetu ukiwakosea wanakimbilia Haraka...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakuna asiejua makapuku walivyotesa JF lakini kwa huu Uzi n salute..ukigusa tu ka utani malike kibao hawa jamaa ni creative sana na wako serious jpo title IPO kama masihara. This guys ara...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
We Enjoy Every Day "WEED"
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Serikali ya kisiwa cha Guam imesema kuanzia mwezi January mwaka 2015 haitampokea mfungwa yeyote atakaefungwa kwa makosa mengine tofauti na uchochezi kutokana na magereza nchini humo kuzidiwa na...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za siku yetu wafanyakazi Wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban, maisha ya ban magumu sana. Ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa. Sasa kipindi nikiwa ban...
14 Reactions
149 Replies
15K Views
Et jmn kama shahawa za mtu mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi zikimwagika kwenye kidonda cha mtu asiye na maambukizi zinaweza kusababisha maambukizi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za Leo wana chit chat .........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao????? NOTE: jibu swali km...
5 Reactions
262 Replies
11K Views
Raha sana, Mwanza tumebahatika kuwa na jengo zuri la kibiashara. Zamani ulikuwa ukitoka mkoani ukifika jiji la samaki lazima ukapige picha pale kwenye samaki, kwa sasa tuna jengo jipya la...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Pamoja sana wanajf. Jana 21/10/2018 maeneo ya wilaya ya Ilemela - Mwanza, kuna mvulana au niseme dogo mmoja hivi alishangaza wengi, na hata wengine kuishia kucheka (nikiwemo Nahuja mie)...
12 Reactions
90 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…