Description:
+ Create and Edit Rich Text Documents on your iPhone or iPad.
+ Create and Edit Spreadsheets
+ Scan documents and convert to PDF
+ Create Hand-Written notes and Drawings
+ Annotate...
Kuna ameishi huko na sasa amekuja Likizo mara moja kaniambia kwamba kama Wewe ni Mtanzania halafu Siku moja ukabahatika ama Kusafiri na Mzazi wako au Wazazi wako au Wakwe zako basi mkiwa mnapita...
Wakuu Kuna zile meseji tulikuwa tunatumiwa kwamba ukii forward kwa watu kumi au ishirini Basi utaona mafanikio baada ya kipindi kifupi.nina ma sms ya kushato wakuu Kama 1500 hivi naombeni msaada...
If you made a mistake—apologize.
If you are thankful—say it.
If you are confused—ask questions.
If you learn something—teach it.
If you are stuck—ask for help.
If you are wrong—admit it sooner...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Nimeamua kuanzisha kijiwe
Kijiwe cha kuzungumzia maisha
Ya watu mtaani kwangu baada
Ya kugundua kumbe mtaani
Kwangu watu wananisema
Vibayaaa.
Sasa nimefungua kijiwe...
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini mu wazima wa afya, napenda kuwasilisha nionacho mimi katika BSS ya 2018, katika hatua za michujo huko mikoani walichujwa baadhi ya vijana /wasanii wenye...
Mwenye gari hili aliamka asubuhi na kung'amua mzingiro huo mweupe kwa usafiri wake.
Kwa hofu ya dhahiri, aliacha kulitumia akawa anaenda kwa taxi kazini kwake. Muungwana huyu alimuita Fundi...
Kuna members wenzetu humu JF kutwa kucha ni kuweka thread za siasa!
Heeeee!!! Siku moja moja basi muweke thread za mambo mengine mbali ya siasa za nchi hii na vyama vyake vya siasa.
Yaani kutwa...
```Jana niliingia zangu library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na MTOTO mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake...
habari zenu wana JF..naombeni mnijuze huyu jamaa aliyejipatiaga umaarufu enzi zile akiwa Radio One kupitia kipindi cha Chemsha Bongo, yuko wapi sasa..maana ni muda mrefu sana sijamsikia.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema...
Ukianza kulewa 🍺 inakuwa tamu sana. Pale ubongo unapofurahia maisha na kusahau shida zinazokuzunguka. Kama una 20,000 ambayo unaitegemea mpaka the next pay day, utamu wa bia utakwambia maisha...
Kuna usemi huwa unasemwa na baadhi ya wanawake kwamba ili mwanamke udumu kwenye mahusiano basi mwanamke anapaswa yeye asimpende huyo mwanaume isipokuwa mwanaume ndio anapaswa kumpenda...
Najua tupo wengi tunaospend pesa nyingi kwa siku.wengine kwa siku wanatumia 5000,wengine 10000 ,wengine 30000 wengine mpaka million moja na wengine zaidi ya hapo
Mimi ndege JOHN matumizi yangu kwa...